Ushiriki wa Familia

Ushiriki wa familia inakuza usawa wa ushirikiano baina ya shule, familia, na jamii ili kuendeleza mafanikio ya mwanafunzi kupitia kwa ushirikiano wa kujitolea, kufanya maamuzi, na uwajibikaji.

Vipengele vya Ushiriki wa Familia

Ushiriki wa vijana na familia katika mchakato wa mabadiliko bora ni vipengele muhimu kwa ufanisi wa mabadiliko bora. Ushiriki wa familia ni utaratibu wenye nguvu ambao unasaidia ustahimilivu wa vijana na huwa na athari kubwa kwa mafanikio ya mwanafunzi.

Icon for Ushiriki wa Familia katika Upangaji wa Mabadiliko Bora ya Sekondari

Ushiriki wa Familia katika Upangaji wa Mabadiliko Bora ya Sekondari

Waelimishaji wako na jukumu la kuhakikisha kuwa familia ni washiriki kikamilifu katika mchakato wa mabadiliko bora.

Icon for Shughuli za Kushirikiana kuhusu Habari za Familia

Shughuli za Kushirikiana kuhusu Habari za Familia

Mazoea ambayo yanawapa wanafamilia habari na nyenzo za kufanya uamuzi bora wakati wanafunzi wao wanapanga kuhusu maisha yao ya baada ya shule.

Icon for Nafuu kwa Familia

Nafuu kwa Familia

Msaada na mapumziko kwa familia ili wapate nafuu kutoka kwa mahitaji ya maisha ya kila siku wakati wanapohakikisha kuwa vijana wako salama na wanahudumiwa visawa.

Icon for Usaidizi wa Kifamilia wa Rika kwa Rika

Usaidizi wa Kifamilia wa Rika kwa Rika

Kubadilishana uzoefu na habari husika kwa ajili ya upangaji wa siku za usoni na vijana wengine na wanafamilia kupitia kwa mitandao, wazungumzaji waliolikwa na vikosi vya utendakazi vya jamii.

Nyenzo za Familia

Kumsaidia mwanafunzi mwenye ulemavu katika elimu yake inahitaji mbinu ya kusaidiana kama timu. Kama mzazi au mlezi, wewe ni mhusika muhimu katika elimu ya mwanafunzi wako.

images for Ushiriki wa Familia ';?>
left side image for process icon

Ni Nini Ushiriki wa Familia Unasaidia katika Upangaji wa Mabadiliko Bora ya Sekondari?

Wakati ambapo familia zinahusishwa katika upangaji

Kuunda uhusiano process icon

Kuunda uhusiano

Kugawana nyenzo process icon

Kugawana nyenzo

Maarifa ya Mabadiliko Bora process icon

Maarifa ya Mabadiliko Bora

Nyenzo Zilizoangaziwa

Jumuiya ya PA ya Mabadiliko Bora inatoa nyenzo zinazoangazia maudhui tofauti tofauti, zote zikiwa zinalenga kuboresha matokeo bora kwa wanafunzi wenye ulemavu.

Career Interested

NYENZO

Je, unahitaji nyenzo zaidi?

CHUNGUZA ZAIDI

Latest EVENT DATE

MATUKIO YA HIVI KARIBUNI

Itazame kalenda kwa matukio ambayo yanaweza kuwa ya manufaa kwako

CHUNGUZA ZAIDI

Want to Learn PA Secondary

Unataka kujifunza zaidi?

Kituo cha PEAL ni pahali pazuri pa kuwasiliana ili kujifunza mengi kuhusu uhusishaji wa familia.

Tazama Maswali ya Mara kwa Mara ya Mbadiliko Bora ya Sekondari ya PA

Tazama Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

TOP