Maendeleo ya Vijana

Kukuza Ujuzi wa Maisha ya Kujitegemea

Ni muhimu kwa matimu yote kuzingatia ujuzi ambao wanafunzi wanahitaji ili kuisihi maisha ya kujitegemea na pia kutengeneza upatikanaji wa ujuzi wa usaidizi.

Kukuza Ujuzi wa Maisha ya Kujitegemea image

Je, Ukuzaji wa Ujuziwa Kuishi kwa Kujitegemea ni nini?

first images of Je, Ukuzaji wa Ujuziwa Kuishi kwa Kujitegemea ni nini?
second images of Je, Ukuzaji wa Ujuziwa Kuishi kwa Kujitegemea ni nini?

Wanafunzi wanahitaji kujifunza ujuzi wa kusimamia majukumu ya kila siku kwa maisha yao ya baada ya shule ya upili. Majukumu hayo ni pamoja na:

  • Kuwa na afya njema na kuzingatia usafi
  • Kuwa na uwezo wa kusimamia fedha na kulipa pesa ya matumizi
  • Kuzingatia muda na kutunza ratiba
  • Kuhakikisha usalama na kujitegemea
  • Kupata na kudumisha makazi
  • Kupata usaidizi unaohitajika na nyenzo
Video Explainatory Icon

Kuunganisha Maswala: Huduma za Makazi kwa Maisha ya Kujitegemea

Video Explainatory Arrow

Ni vipi watu wazima wanaweza kukuza ujuzi wa kusaidia maisha ya kujitegemea?

Maelekezo ni muhimu kukuza ujuzi wa maisha ya kujitegemea

  • Uhuru wa kujitegemea kwa kufanya chaguzi ya kila siku
  • Kutayarisha chakula na ujuzi wa kupika
  • Ujuzi wa matengenezo ya nyumbani
  • Ujuzi wa ununuzi
  • Ujuzi wa shughuli ya kimaisha
Ni vipi watu wazima wanaweza kukuza ujuzi wa kusaidia maisha ya kujitegemea? Image

Je, Ujuzi wa Maisha ya Kujitegemea Unaweza Kuwasaidia Wanafunzi?

Wanafunzi wanaweza kujifunza ujuzi ambao unahimiza kujitegemea katika maeneo tofauti tofauti.

Makazi icon

Makazi

Kujifunza jinsi ya kupata na kutunza pahali pazuri na salama pa kuishi.

Utunzaji wa Kibinafsi  icon

Utunzaji wa Kibinafsi

Kijifunza jinsi na wakati wa kupanga ratiba ya mikutano ili kuhakikisha afya bora na usafi.

Fedha na Kupanga Bejeti  icon

Fedha na Kupanga Bejeti

Kujifunza jinsi ya kupata fedha kutoka kwa benki, kuweka fedha, na kufuatilia matumizi ili kumudu mahitaji ya msingi na pia kuafikia malengo ya fedha ya siku za usoni.

Tabia za Ununuzi icon

Tabia za Ununuzi

Kujifunza jinsi ya kuweka vitu kwa matumizi ya baadaye, jinsi ya kununua vitu visvyo ghali, na pia jinsi ya kuishi kwa bejeti.

Nyenzo Zilizoangaziwa

Jumuiya ya PA ya Mabadiliko Bora inatoa nyenzo zinazoangazia maudhui tofauti tofauti, zote zikiwa zinalenga kuboresha matokeo bora kwa wanafunzi wenye ulemavu.

Career Interested

NYENZO

Jifunze jinsi zana za Kozi ya Maisha zinaweza kutumika kupanga maisha ya usoni ya kujitegemea.

CHUNGUZA ZAIDI

Latest EVENT DATE

MATUKIO YA HIVI PUNDE

Tazama kalenda kwa matukio yanayokufaa.

CHUNGUZA ZAIDI

Want to Learn PA Secondary

Unataka kujifunza zaidi?

Kukuza Maisha ya Kujitegemea Ukiwa bado Shule

Tazama mafunzo haya yaliyohifadhiwa kujifunza mbinu za kukuza ujuzi wa maisha ya kujitegemea!

Tazama Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

TOP