Kutengeneza Mahusiano Bora
Wanafunzi walio na mahusiano bora wanapaswa kuwahusisha wale ambao wana maazimio sawa, kuwasaidia kupitia changamoto, na kusimama nao, na kuwaheshimu wakipanga maisha ya siku za usoni.

Urafiki
Wanafunzi walio na mahusiano bora wanapaswa kuwahusisha wale ambao wana maazimio sawa, kuwasaidia kupitia changamoto, na kusimama nao, na kuwaheshimu wakipanga maisha ya siku za usoni

Juhudi za Kupinga Unyanyasaji
Kupinga unyanyasaji inahusisha kila mtu kuchukua muda kuelewa na kuheshimu imani za watu wengine na yale ambayo watu wamepitia. Hii inachukua kila mtu kufanya kazi pamoja . kwa hivyo, kupinga unyanyasaji ni kusimama na kupinga unyanyasaji hadharani wakati wanapoona kikifanyika.

Hisia ya Jamii
Ni muhimu kuhisi urahisi katika shughuli za kijamii na wakati ambapo unatengeneza mahusiano na rika zako na watu wazima pia. Iwe nyumbani, shuleni, kazini, au katika jamii, wanafunzi wanapaswa kuhisi kuwa watu wanaowazingira wamewakubali.

Ukuzaji wa Ujuzi wa Maendeleo
Watu wazima wanapaswa kuwasaidia wanafunzi kukuza ujuzi wa kijamii kama kusikia kwa umakini ili kujifunza kile ambacho wengine wanasema. Unapaswa kukumbuka kuwa ujuzi wa kijamii ni pamoja na kufanya kazi katika hali ya migogoro na kujadiliana na watu.
Mahusiano na Rika Na Watu Wazima Ni Muhimu Kwa Ufanisi Wa Mwanafunzi
Inasemwa mara nyingi “sio kile unachojua bali YULE unayemjua”. Kujua jinsi ya kukuza na kudumisha mahusiano bora ni ujuzi wa maisha marefu ambao una athari za kudumu katika maisha ya ufanisi na furaha siku za usoni. Kuwasaidia wanafunzi kupanga na kujitayarisha kwa mahusiano haya ni muhimu kwa ufanisi wao wa baadaye.

Viashiria Vidogo vya Mahusiano
Bonyeza katika eneo la hitaji ili kupata habari na nyenzo

Kukuza Mahusiano Bora Una Maana Gani kwa Ufanisi wa Mwanafunzi?
Timu ya mabadiliko bora inapaswa kupangia nafasi kwa wanafunzi kuzitumia ujuzi wa kijamii ili kutengeneza uhusiano na watu wengine, ikijumuisha marafiki na wataalamu ambao wanaweza kusaidia na kuhudumia kama washauri
Nyenzo Zilizoangaziwa
Jumuiya ya PA ya Mabadiliko Bora inatoa nyenzo zinazoangazia maudhui tofauti tofauti, zote zikiwa zinalenga kuboresha matokeo bora kwa wanafunzi wenye ulemavu.

Resources NYENZO
Unahitaji nyenzo zaidi?
CHUNGUZA ZAIDI

MATUKIO YA HIVI PUNDE
Tazama kalenda kwa matukio yanayokufaa.
CHUNGUZA ZAIDI

Unataka Kujifunza Zaidi?
Tazama Maswali ya Mara kwa Mara ya Mabadiliko Bora ya Sekondari PA
Tazama Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara