Mabadiliko Bora ya Sekondari ya PA: Kuunganisha na Ajira

Kisheria, Pennsylvania ni Jimbo la “Ajira Kwanza” (Kitendo cha sheria cha 36 wa 2018). Ajira kwanza inamaanisha kuwa ajira jumuishi na ya ushnidani ndio inazingatiwa ya kwanza na matokeo inayopendelewa kwa elimu ya uma, ajira, na huduma zinazohusiana nazo pamoja na usaidizi wa muda mrefu wa huduma kwa watu wenye ulemavu walio katika umri wa kufanya kazi katika jimbo la Pennslyvania. Lengo la Mabadiliko Bora ya Sekondari ni: kuhakikisha kuwa uunganishi na ajira unatoa mfumo rahisi wa kuhakikisha kuwa watu wenye ulemavu na familia zao wanapata ajira kwa ushandani iwapo watahitaji msaada kupata kazi.

post-secondary goals

Ramani ya Njia ya Mabadiliko Bora ya Sekondari Pennsylvania

Ramani hii inaonyesha jinsi Idara ya Elimu ya Pennyslvania katika Ofisi ya Ukarabati na Ufundi (OVR) pamoja na Ofisi ya Programu za Maendeleo (ODP) zinaweza kushirikiana ili kutoa matokeo bora kwa wanafunzi. Dhumuni ya mfumo huu ni kuwajulisha kuhusu huduma za OVR na ODP na kuwaeleza lini wataalikwa katika safari ya ajira.

Uunganisha na Ajira Ramani

Mfululizo wa Video wa Kuunganisha na Ajira

Karibu katika mfululizo wa mafunzo Mabadiliko Bora ya Sekondari ya “Kuunganisha na Ajira”. Lengo la mfululizo huu ni kuwasaidia waelimishaji na wafanyikazi wa mashirika ya kijamii kujifunza kuhusu majukumu ya katika mabadiliko bora ya sekondari na kujua jinsi kufanya kazi pamoja inaweza kuleta mafanikio ya kimaisha kwa wanafunzi wenye ulemavu.

Mfululizo wa Mafunzo ya Uunganishi wa Ajira Sura ya Kwanza: Utangulizi

Mfululizo wa Mafunzo ya Uunganishi wa Ajira Sura ya Pili: Mafunzo 101

Mfululizo wa Mafunzo ya Uunganishi wa Ajira Sura ya Tatu: OVR 101

Mfululizo wa Mafunzo ya Uunganishi wa Ajira Sura ya Nne: ODP 101

Mfululizo wa Mafunzo ya Uunganishi wa Ajira Sura ya Tano: Kuunganisha yote pamoja

Ajira Kwanza kwa Watu wenye Ulemavu

Ajira Kwanza ni mpango iliyotolewa hususan ili kuhakikisha kuwa watu wenye ulemavu, familia zao, timu za misaada, na watoa huduma wako na nyenzo na habari ambazo wanahitaji kufaulu.

Pennsylvania inalenga kuongeza nafasi nyingi za ajira kwa watu wenye ulemavu. Kitendo cha Sheria cha 36 wa 2018 au kwa kifupi Kitendo cha Sheria cha Ajira Kwanza, itatoa mafunzo, elimu, na huduma za misaada ili kusaidia watu kuafikia malongo yao binafsi.

Ajira Kwanza inanuhia kuhakikisha kuwa kikundi chochote ambacho kinapata fedha za umma kinaipa ajira kipao mbele kwa elimu, mafunzo, na huduma za misaada kwa yeyote aliye na ulemavu na amefuzu kufanya kazi.

Ili kupata nyenzo nanyaraka za ziada za Ajira Kwanza, tembelea tovuti ya Idara ya Kazi na Viwanda.

PA Youth Audience

TOP