Masomo/Elimu ya Kibinafsi
Nukuu la Masomo ya Kibinafsi linapatikana kwa muundo wa dijitali. Jedwali ya Yaliyomo inakuwezesha kwenda katika sehemu maalum kwa nukuu hili la Masomo ya Kibinafsi. Unaweza kuchukua nakala hii ama kuitisha nakala ya karatasi.
Orodha ya Ukaguzi ya Masomo ya Kibinafsi Pamoja na Maelezo
Kusudi la nakala hii ni kusaidia uhusishaji, ukuaji, na utekelezaji wa Masomo ya Kibinafsi. Kila sehemu liko na maswali ambayo yanaweza kuelekeza mazungumzo. Unapaswa kuitumia safu ya maelezo ya mipango ili kukusaidia kujipanga katika mkutano ujao wa Masomo ya Kibinafsi.
Mwanafunzi wa Kiingereza
Mwongozo kwa Wataalamu wa Maendeleo ya Lugha ya Kiingereza ni orodha ya ukaguzi inayosaidia katika mchakato wa IEP. Kila sehemu ina maswali ya kusaidia kuongoza mazungumzo. Tumia safu ya Vidokezo vya Mipango ya IEP kusaidia mipango yako na ushiriki katika mkutano wa IEP ujao.
Mpango wa Mawasiliano wa Masomo ya Kibinafsi
Mpango wa Mawasiliano unaitajika kwa mchakato wa Masomo ya Kibinafsi kwa wanafunzi viziwi wa kutosikia na kuongea na viziwi wa kutosikia na upofu. Muundo mpya unaitisha takwimu ili kujibu maswali na kuwahusisha wanachama wote wa timu wakiwemo mwanafunzi, familia, na wataalamu.
Mpango wa Mawasiliano wa Masomo ya Kibinafsi yenye Maelezo
Toleo hili la Mpango wa Mawasiliano iliyo na maelezo inawasaidia wanachama wa timu na mawazo na vidokezo ya kupanga kwa pamoja mkutano wa Masomo ya Kibinafsi.
Mwongozo huu sio waraka wa kisheria bali ilitengenewa ili kuwapa wazazi na walimu kwnye jimbo la Pennsylvania ufahamu wa lugha ya masomo maalum ili wawe na urahisi wakushiriki katika maamuzi ya elimu.
Kipeperushi hiki kinatoa muhtasari wa haki za wazazi wenye watoto ambao wanapata au wanafaa kupata elimu maalum kupitia katika sheria la Elimu ya Watu wenye Ulemavu. Notisi ya Ulinzi wa Kiutaratibu inatoa maelezo zaidi kuhusu haki hizo.
Ratiba ya Elimu Maalum
Ratiba ya muda ni muhimu sana katika utoaji wa huduma za elimu maalum. Kulingana na sheria ya Pennsylvania, Sura ya 14 Sehemu ya 300 ya Programu na Huduma za Elimu Maalum (IDEA), huduma za elimu maalum lazima zitolewe kwa muujibu wa ratiba iliyotelwa.
Katika maswala ya elimu, vifupisho ni vikundi vya herufi vinavyotumika kufupisha programu na vyeo vingi. Hapa kuna orodha ya vifupishi vingi vinavyotumika kwa maswala ya elimu.
Kitabu hiki kimeandikwa ili kutoa habari na kueleza sheria na masharti ili wazazi wahisi vizuri na wawe katika nafasi bora ya kujihusisha na mchakato wa uamuzi wa masomo ya watoto wao.
Je, una maswali kuhusu mchakato wa elimu maalum au kuhusu haki zako?
Mashirika haya huru yanaweza kukusaidia kupata majibu hayo.
Kushirikisha Familia Katika Mchakato wa Elimu ya Kibinafsi
Ni jukumu la shule kuwajumuisha familia lakini inaweza kuwa ngumu kujua jinsi ya kufanya hivi. Hati hii inaeleza jinsi shule zinaweza kuunda upya mchakato wa Masomo ya Kibinafsi na kuchuka hatua za kuwajumuisha familia kama washirika wa elimu.
Kozi ya Wataalamu kuhusu Kuandika Mchakato wa Masomo ya Kibinafsi. Tazama kalenda ya PaTTAN kwa nafasi zaidi.
Kifungo cha Dondoo kutoka kwa Meza ya Walimu
Kifungo hiki kiko na toleo zaidi ya 20 katika msururo wa Dondoo kutoka kwa Meza ya Walimu. Kifungo hiki kinajumuisha machapisho yafuatayo:
Dondoo Kutoka Meza ya Walimu: Teknolojia ya Usaidizi
Dondoo Kutoka Meza ya Walimu: Sura ya 15/Huduma ya Sehemu ya 504
Dondoo Kutoka Meza ya Walimu: Usimamizi wa Darasa
Dondoo Kutoka Meza ya Walimu: Kuwasiliana na Familia
Dondoo Kutoka Meza ya Walimu: Mshtuko wa Ubongo (Jeraha ndogo kwa ubongo lenye madhara)
Dondoo Kutoka Meza ya Walimu: Kufundisha kwa Pamoja
Dondoo Kutoka Meza ya Walimu: Kiziwi na Kipofu
Dondoo Kutoka Meza ya Walimu: Kubuni kazi ya Ziada yenye Ufanisi
Dondoo Kutoka Meza ya Walimu: Mafundisho yenye Ufanisi
Dondoo Kutoka Meza ya Walimu: Mazoezi ya Msingi kwa Mafundisho Bora ya Hisibati
Dondoo Kutoka Meza ya Walimu: Mwaka wa Shule Unaopanuliwa
Dondoo Kutoka Meza ya Walimu: Ushiriki wa Familia na Jamii
Dondoo Kutoka Meza ya Walimu: Tathmini/Mtihani yenye Maelezo
Dondoo Kutoka Meza ya Walimu: Mazoezi ya Kujumuisha
Dondoo Kutoka Meza ya Walimu: Kuzidisha Mafunzo ya Mwanafunzi kwa Kutoa Maoezi ya Kundi
Dondoo Kutoka Meza ya Walimu: Kujiandaa kwa Mkutano wa Timu ya Masomo ya Kibinafsi
Dondoo Kutoka Meza ya Walimu: Maelezo ya Elimu Maalum
Dondoo Kutoka Meza ya Walimu: Vifaa na Huduma vya Kuongezwa
Dondoo Kutoka Meza ya Walimu: Jukumu la Pamoja la Wanachama wa Timu ya Elimu
Dondoo Kutoka Meza ya Walimu: Muundo wa Masomo Duniani
Dondoo Kutoka Meza ya Walimu: Kutumia Wakati wa Masomo kwa Ufanisi
Dondoo Kutoka Meza ya Walimu: Kutumia Maswali ya Kimkakati ili Kuimarisha Ufunzaji
Dondoo Kutoka Meza ya Walimu: Upungufu wa Kuona
Dondoo Kutoka Meza ya Walimu: Jukumu Lako kwenye Timu za Uchambuzi wa Takwimu
Ili kuagiza mafungo kadhaa, weka nambari unayohitaji kwenye kisanduku na ubonyeze kitufe cha “Ongeza kwenye Mkokoteni”. Unaweza kubadilisha nambari ya toleo binafsi kwa kubonyeza “Mkokoteni Wangu” na kubadilisha nambari kwa kila toleo.
TOP