Ingawaje zana hizi zimeundwa kwa wanafunzi wenye ulemavu, zana na nyenzo ambazo zipo hapa zinweza kuimarisha mafanikio ya upangaji wa tathmini/mitihani kwa wanafunzi wote.
Bonyeza vitufe hivi hapa chini ili kufumbua nyenzo zinazowea kuimarisha mchakato wa kupanga tathmini za mabadiliko bora.
Lengo la msingi la zana hii ni kutoa mwongozo ili kukusaidia kuitumia fomu ya Mpangilio wa Kutathmini Mabadiliko Bora kwa Wanafunzi Wenye Ulemavu Mkubwa. (Muungano wa Mabadiliko Bora 2009©)
Baada ya kuchamba zana hii, utaweza:
Nyenzo za Msingi
VIDEO YA UTANGULIZI WA UTATHMINI WA MABADILIKO BORA
Video hii inatoa maelezo kuhusu kusudi na matokeo yanayotokana na ufanisi wa utathmini wa mabadiliko bora inayoendelea.
NYENZO
VIDEO YA HATUA YA KWANA
Video hii inaonyesha kwa kina vipengele vya hatua ya kwanza ya mchakato wa Mipangilio ya Kutathmini Mabadiliko Bora. Video hii inaonyesha jinsi ya kutambua kile ambacho tayari tunafahamu na tunachopaswa kufahamu kuhusu wanafunzi katika vikoa tofauti vya mipangilio ya mabadiliko bora.
NYENZO
VIDEO YA HATUA YA PILI
Video hii inaonyesha vipengele vya hatua ya pili vya mchakato wa Mipangilio ya Kutathmini Mabadiliko Bora ambayo inahusisha mwongozo wa jinsi ya kuchagua nyenzo za kumtambua anayehitaji utathmini, jinsi ya kufanya utathmini, na wakati wa kutathmini.
NYENZO
VIDEO YA HATUA YA TATU
Video hii inaangazia kwa kina vipengele vya hatua ya tatu ya Mipangilio ya Kutathmini Mabadiliko Bora ambayo inahusisha mwongozo wa jinsi ya kuitumia Nyenzo ya Kufuatilia ili kujumlisha matokeo ya utathmini/mitihani na kuunganisha matokeo hayo pamoja na mipango ya mwanafunzi ya mabadiliko bora.
NYENZO
TOP