Ukuzaji wa Ujuzi wa Kuishi Maisha ya Kijitegemea


Watu Wazima Wanaweza Kuwasaidia Wanafunzi Kwa Kuwafunza Ujuzi Na Kuchagua “Changamoto Bora” Ambazo Zinaangazia:
- Kujali mahitaji zao
- Kujifunza jinsi ya kusikizana na watu
- Kuweka mipangilio ya kuishi
- Kuzichambua nyenzo na misaada ambayo inapatikana
Ukuzaji wa Ujuzi wa Maisha ya Kujitegemea
Wanachama Wa Timu Wanaweza Kukuza Kujitegemea Kwa Wanafunzi Kwa Kuwasaidia Kujifunza Jinsi Ya:
- Kununua na kupika chakula chenye afya na inayozingatia bajeti
- Kutengeneza vitu ndani ya nyumba na kujua mtaalam bora wa kuitwa ili kutengeneza ‘vitu vikubwa’
- Kufuatilia matumizi, kuweka pesa na kuunda alamu nzuri ya mkopo
- Kushughulikia ushuru kila mwaka
- Kufuatilia vitu muhimu nyumbani (vifaa vya bafu, vifaa vya usafi, na mengineyo)

Kufunza Ujuzi Wa Kuishi Maisha ya Kujitegemea Unawezaje Kuwafaidi Wanafunzi?
Wanafunzi wanaweza kupata maelezo na msaada wa ujuzi wa maisha ya kujitegemea inayohusiana na:

Utunzaji wa Nyumba
Kuweza kutengeneza vitu ambavyo vinavunjika, kuhakikisha nyumba ni safi na kubadilisha nafasi za nyumba ziambatane na malengo, mahitaji (kama ufikiaji wa vitu) na maazimio.

Ujuzi wa Maisha yenye Afya Bora na Usalama
Kuweza kupanga maankuli ambayo yanazingatia utaratibu wa mlo bora ambayo inaambatana na malengo na mahitaji ilhali usalama ukidumishwa.

Usimamizi wa Fedha
Kuweza kutumia benki au programu za simu ili kuweka pesa na kufuatilia matumizi ya pesa ili kumudu mahitaji ya kimsingi na pia kufikia malengo ya muda mrefu.

Ununuzi Bora
Kujua jinsi ya kufanya ununuzi ili kuchagua kitu bora zaidi kabla ya kununua na kulinganisha ukaguzi wa bidhaa, kuangalia bei na mapunguzo ya pesa.

NYENZO
Ujuzi wa Vijana kwa Mtaala wa Maisha
CHUNGUZA ZAIDI

MATUKIO YA HIVI PUNDE
Tazama kalenda kwa matukio yanayokufaa.
CHUNGUZA ZAIDI

Unataka kujifunza zaidi?
Pesa Bora
Kufuna watu wa umri wote jinsi ya kusimamia pesa kwa kutumua nyenzo zilizo za bure na rahisi kutumia katika Programu ya Pesa Bora ya FDIC. Tazama video hii ya Kufunza Pesa Bora ili kujifunza kuhusu programu ya Pesa Bora!
Tazama Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara