Ni Mashirika Gani Yapo?


Kwa wakati mwingine, utafiti na mipangilio inahitajika ili kujua mashirika yaliyopo, na msaada ambao wanaweza kutoa. Zifuatazo ni mashirika jimboni kote ambazo zinajihusisha na masuala ya ulemavu kwa wanafunzi na kuwasaidia kwa malengo yao yanayozingatia maeneo tatu muhimu za masomo na mafunzo ya baada ya shule ya upili, ajira, na maisha ya kujitegemea.
- Idara ya Utumishi za Kibinadamu (DHS)
- Ofisi ya Ukarabati za Kifundi (OVR)
- Ofisi ya Mpango wa Maendeleo (ODP)
- Ofisi ya Huduma za Usonji (BAS)
- Ofisi ya Maisha Marefu
- Ofisi ya Watoto, Vijana, na Familia (OCYF)
- Ofisi ya Huduma za Afya ya Kiakili na Matumizi Mabaya ya Dawa za Kulevya
- Ofisi ya Haki za Watoto na Kuzuia Uhalifu
- ARC ya PA
Faida za Ushirikiano wa Mashirika Mengi
Hakuna shirika moja ambalo linaweza kuafikia mahitaji yote ya mwanafunzi aliye kwa umri wa mabadiliko bora. Ili kuhakikisha ufanisi wa mpangilio wa mabadiliko bora, kunahitajika kuwa na ushirikiano wa utaalamu na pia kuwe na nyenzo na huduma mbalimbali. Wakati ambapo mashirikia yanafanya kazi pamoja, wanatengeneza daraja kwa wanafunzi walemavu kutoka shuleni hadi kwa shughuli na mazingira ya baada ya shule. Ushirikiano wa mashirika mengi ni njia ya:

Mashirika Yanawezaje Kuwasaidia Wanafunzi Walio Kwa Umri wa Mabadiliko Bora?
Kufahamu huduma ambazo zinaweza kutolewa ni muhimu ili kuhakikisha kuwa ni watu sahihi ndio wamehusishwa:

Ofisi ya Ukarabati za Kifundi (OVR)
OVR inatoa huduma za mwendelezo kwa wanafunzi wenye ulemavu. Huduma hizi ni pamoja na Huduma ya Mabadiliko Bora ya Kabla ya Ajira na huduma za Kibinafsi za Ukarabati za Kifundi

Ofisi ya Mpango wa Maendeleo (ODP)
ODP inatoa misaada mbalimbali kwa watu wenye ulemavu wa kimaendeleo kuhusu ajira na maisha ya jamii.

Ofisi ya Huduma za Usonji (BAS)
BAS inatoa msaada kwa watu wenye Usonji Tofauti, ikiwemo Msamaha wa Watu Wazima Wenye Usonji na Mpango wa Watu Wazima wenye Usonji Kwa Jamii (ACAP) ili kusaidia mabadiliko bora kwa utu uzima.

Mashirikia Mengine Washirika
Kuna mashirika mengine mengi ambayo yanaweza kuhusishwa kwa mchakato wa mpangilio wa mwanafunzi ikilingana na mahitaji na hali ya mwanafunzi. Mashule yanapaswa kujadili na familia kuhusu mashirika ambayo yanahusishwa kwa sasa na wanafunzi wao na mashirika ambayo wanapaswa kuzingatia.
Nyenzo Zilizoangaziwa
Jumuiya ya PA ya Mabadiliko Bora inatoa nyenzo zinazoangazia maudhui tofauti tofauti, zote zikiwa zinalenga kuboresha matokeo bora kwa wanafunzi wenye ulemavu.

NYENZO
Je, unataka kujifunza zaidi kuhusu jinsi mashirika yanaweza kushirikiana kutoa huduma za mabadiliko bora kwa wanafunzi?
CHUNGUZA ZAIDI

MATUKIO YA HIVI PUNDE
Tazama kalenda kwa matukio yanayokufaa.
CHUNGUZA ZAIDI

Unataka kujifunza zaidi?
Chunguza hii nyenzo!
Itazame hati hii ya uwasilishaji juu ya mikakati ya ushirikiano wa mashirika mengi.
Tazama Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara