Upangaji Unaozingatia Mtu na Familia

Mbinu Halisi za Upangaji Unaozingatia Mtu na Familia

Wakati timu zinatumia mbinu za upangaji zinazozingatia mtu na familia, mpango wa mabadiliko bora unakuwa wa kumhusu mwanafunzi.

Mbinu Halisi za Upangaji Unaozingatia Mtu na Familia  image

Mbinu Halisi za Upangaji Unaozingatia Mtu na Familia

first images of Mbinu Halisi za Upangaji Unaozingatia Mtu na Familia
second images of Mbinu Halisi za Upangaji Unaozingatia Mtu na Familia

Mbinu zinazomzingatia mtu binafsi zinahitaji wanafunzi kufikiria kuhusu jinsi siku zao za usoni zitakuwa. Upangaji wa uzingativu utahusisha timu kuwauliza wanafunzi kuhusu shughuli ambazo wangependelea kufanya, pahali ambapo wanataka kuishi, na matamanio yao ya usoni. Kuweka malengo inafaa kupewa kipaumbele, na upangaji wa malengo haya inafaa kumzingatia mtu binafsi pamoja na kuweka mawazo na uzoefu wa mwanafunzi kama vitu muhimu katika mchakato huu. Wadau wanaweza kuzingatia:

  • Mwanafunzi amepewa nafasi ya kujifunza kuhusu uwezo na maazimio yao? Ni nini wamejifunza?
  • Ni shughuli zipi ambazo wanafunzi wanataka kupitia ili kufikia malengo yao ya kazi, elimu, na maisha ya kujitegemea?
  • Ni nani anamfahamu vyema mwanafunzi katika maisha yake? Watu hao wanawezaje kusaidia na kuweka malengo ya mwanafunzi?
  • Watu wazima waliohusishwa wanawezaje kuwasaidiaje wanafunzi kujitetea?
Video Explainatory Icon

Tazama huu muhtasari wa zana za upangaji unaozingatia mtu binafsi!

Video Explainatory Arrow

Je, mbinu za upangaji unaozingatia mtu na familia zinahusisha?

Timu ya mabadiliko bora inaweza kumsaidia mwanafunzi kuchukua usukani wa upangaji kwa kuhakikisha kuwa mwanafunzi:

  • Anachunguza maazimio yake binafsi ndani na nje ya shule
  • Anaongoza sehemu zote za mkutano wa IEP
  • Anatetea kile ambacho kinafaa kuwa katika mpango wa mabadiliko bora na pia yale yasiyopaswa kujumuishwa
  • Anachagua kozi za shule ya upili ambazo zinaambatana na uwezo wao, maazimio yao, na malengo yao
  • Kupanga shughuli, vilabu, na programu ambazo mwanafunzi anaweza kujiunga katika jamii
Je, mbinu za upangaji unaozingatia mtu na familia zinahusisha? Image

Ni Kivipi Upangaji Unaozingatia Mtu na Familia Unaweza Kuwasaidia Wanafunzi?

Wakati ambapo timu za mabadiliko bora zinawasaidia wanafunzi na familia zao, watakuwa na...

Chaguzi za Kitaaluma ya Masomo  icon

Chaguzi za Kitaaluma ya Masomo

Kujua kozi na mafunzo ambayo yapo na yanaweza kumtayarisha mwanafunzi kwa kumkuza na ujuzi na maarifa ambao wanahitaji wakizingatia maazimio yao.

Chaguzi za Ajira  icon

Chaguzi za Ajira

Kuchunguza taaluma za kazi tofauti na kujua ni gani inamfana mwanafunzi kwa kuzingatia uwezo, maazimio, malengo, na utu wa mwanafunzi.

Chaguzi za Kuishi  icon

Chaguzi za Kuishi

Kuelewa chaguzi za kusihi za siku za usoni na jinsi ya kuzitimiza kwa kuzingatia uwezo, mahitaji, na malengo ya mwanafunzi.

Kujitetea  icon

Kujitetea

Kuzungumzia matakwa na mahitaji ya mwanafunzi kupitia mikutano ya IEP inayoongozwa na mwanafunzi ili kuhakikisha kuwa mpango wa mwanafunzi unazingatia malengo ya sasa na ya siku za usoni.

Nyenzo Zilizoangaziwa

Jumuiya ya PA ya Mabadiliko Bora inatoa nyenzo zinazoangazia maudhui tofauti tofauti, zote zikiwa zinalenga kuboresha matokeo bora kwa wanafunzi wenye ulemavu.

Career Interested

NYENZO

Unataka Kujifunza Mengi Kuhusu Upangaji Unaozingatia Mtu Binafsi?

CHUNGUZA ZAIDI

Latest EVENT DATE

MATUKIO YA HIVI PUNDE

Tazama kalenda kwa matukio yanayokufaa.

CHUNGUZA ZAIDI

Want to Learn PA Secondary

Unataka kujifunza zaidi?

Kozi ya Maisha

Tazama mafunzo haya ya Upangaji wa Kozi ya Maisha

Tazama Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

TOP