Uajiri

Taaluma ya Kazi na Elimu ya Kiufundi

Taaluma ya Kazi na Elimu ya Kiufundi (CTE) ya Pennyslvania inawapa wanafunzi nafasi ya kukuza ujuzi muhimu kupitia kwa mchanganyiko wa masomo ya madarasa na uzoefu wa kazi ya mikono, ambayo yote inawapa fursa ya kutekeleza usomi waliopata kutatua shida zilizo ulimwenguni

Taaluma ya Kazi na Elimu ya Kiufundi  image

Mazingatio ya Kujiandikisha kwa Programu ya CTE

first images of Mazingatio ya Kujiandikisha kwa Programu ya CTE
second images of Mazingatio ya Kujiandikisha kwa Programu ya CTE

Wanafunzi wengi wenye ulemavu hujiandikisha kwa programu za CTE ili kukuza ujuzi wao ili wapate ajira itakayowasaidia kuishi kwa kujitegemea. Timu ya mabadiliko bora inapaswa kuzingatia kama programu ya CTE inamfana mwanafunzi ambaye wanamjadili:

  • Uwezo, maazimio, na mapendeleo ya mwanafunzi
  • Mahitaji ya programu
  • Mazingatio, misaada, na huduma ambazo wanafunzi watahitaji ili kushiriki katika programu
Video Explainatory Icon

Ebu tutazame kile ambacho Taaluma ya Kazi na Mafunzo ya Kiufundi inatoa!

Video Explainatory Arrow

Vyeti Vinavyotambulika Viwandani

Vyeti vinavyotambulika viwandani hupima uwezo wa maudhui ya msingi na kiwango cha utendaji kwa seti maalum inayohusiana na kazi. Kazi na mitihani lazima ilingane na mahitaji ya kazi viwandani katika vikundi tofauti vya taaluma ya kazi.

  • Kilimo, Chakula na Maliasili; Usanifu na Ujenzi; Sanaa; Teknolojia ya A/V na Mawasiliano; Usimamizi na Utawala wa Biashara
  • Sayansi ya Afya; Utalii, Huduma za Kibinadamu; Teknolojia ya Habari
  • Sheria na Usalama wa Umma; Uzalishaji, Huduma ya uuzaji na utangazaji
  • Sayansi, Teknolojia, Uhandisi, Hisabati; Usafirishaji na Usambazaji, na Vifaa
Vyeti Vinavyotambulika Viwandani  Image

Faida ya Mwanafunzi Kujihusisha na CTE

Uzoefu wa ulimwengu halisi icon

Uzoefu wa ulimwengu halisi

Kupitia kwa mchanganyiko wa masomo ya madarasa na uzoefu wa kazi ya mikono, wanafunzi wanaweza kutumia masomo kutatua shida halisi za dunia.

Walimu Wenye Uzoefu  icon

Walimu Wenye Uzoefu

Wanafunzi hufunzwa na wataalamu walio na uzoefu wa sekta, na hutumia vifaa vya hali ya juu katika masomo.

Alama Zinazotumika kwa Masomo ya Baada ya Shule  icon

Alama Zinazotumika kwa Masomo ya Baada ya Shule

Wanafunzi wanaweza pia kupata alama zitakazotumika chuoni na vyei vya sekta hata kabla ya kuhitimu chuo cha upili

Uzoefu wa Kazi  icon

Uzoefu wa Kazi

Wanafunzi wanweza kufikia ujuzi ambao utawasaidia kukamilisha kazi maalum ambayo inayohusiana na taaluma ya kazi waliyochagua. Pia wanapata uzoefu wa kazi wakiwa viwandani.

Career Interested

NYENZO

Una nia ya Kupata CTE katika Eneo Lako?

CHUNGUZA ZAIDI

Latest EVENT DATE

MATUKIO YA HIVI PUNDE

Tazama kalenda kwa matukio yanayokufaa.

CHUNGUZA ZAIDI

Want to Learn PA Secondary

Unataka kujifunza zaidi?

Angalia tovuti ya Idara ya Elimu ya PA ili kupata habari nyingi kuhusu CTE

Sasa unaweza kupata video zaidi kuhusu CTE, vipeperushi, na habari kuhusu vikundi vya taaluma ya kazi

Angalia Maswali Yote ya Mara kwa Mara

TOP