Mwongozo wa Kujisomea ili Kuwa Tayari kwa Taaluma ya Kazi Katika Mashule ya Sekondari


Kituo cha mafunzo ya sayansi kimetengeneza mwongozo wa kujisomea ili kusaidia mashule ya sekondari kuchunguza utayari wao wa taaluma ya kazi. Kusudi ya Mwongozo wa Kujisomea ili Kuwa Tayari kwa Taaluma ya Kazi Katika Mashule ya Sekondari ni kusaidia mashule na mashirika ya elimu katika jimbo au mtaani.
- Kusanya habari za msingi za kukuza mpango wa utekelezaji wa juhudi za utayari wa taaluma ya kazi.
- Kuyapa mahitaji ya wanafunzi kipaumbele wakati wa kutengeneza mpango wa utekelezaji.
- Kusanya habari za kufuatilia maendeleo ili kuhakikisha uboreshaji unaendelea
- Tathmini utekelezaji wa juhudi za utayari wa taaluma ya kazi
- Chunguza mifumo katika matokeo ya wanafunzi.
Ujuzi wa Kuwa Tayari kwa Taaluma ya Kazi ya PA
Madarasa ya kukuza taaluma za kazi zinapaswa kusisitiza umuhimu wa ujuzi wa kuwa tayari kwa taaluma ya kazi. Ujuzi wa Kuwa Tayari kwa Taaluma ya Kazi ya Pennyslvania (PA CRS) ni maendelezo ya mafunzo ya jamii yenye mhemuko inayosaidia kukuza ustadi wa mwanafunzi. Ujuzi wa kuwa Tayari kwa Taaluma ya Kazi inaangazia vipaumbele ili kuhakikisha kuwa wanafunzi wako tayari kwa taaluma ya kazi yao na wamejiandaa kukidhi mahitaji ya kazi ya karne ya ishirini na moja. PA CRS imegawanywa katika sehemu tatu:
- Kujitambua na Kujisimamia Binafsi
- Kuanzisha na Kudumisha Mahusiano
- Kutatua Shida za Kijamii

Madarasa ya Kukuza Taaluma ya Kazi Inawezaje Kuwasaidia Wanafunzi?
Mazingatio kwa Timu za Mabadiliko Bora

Mtaala Unaozingatia Taaluma ya Kazi
Maudhui ya kozi ni muhimu kwa uchaguzi wa taaluma za kazi kwa wanafunzi.

Ujuzi wa Kuajiriwa
Wanafunzi wanafunzwa ujuzi wa kukuza ujuzi wa kijamii na wa kihisia ili kufaulu katika mazingira ya kazi.

Uchunguzi wa Taaluma ya Kazi
Wanafunzi wanapewa nafasi za kuchunguza taaluma za kazi kwa kupitia shughuli ambazo zinazingatia taaluma ya kazi.

Ushauri wa Taaluma ya Kazi
Juhudi zilizoongozwa kuwasaidia wanafunzi kupata taaluma ya kazi ambayo inawafaa kulingana na sifa na talanta zao.

Nyenzo
Bonyeza hapa ili kupata nyenzo za kujenga makozi zenye nguvu kwa taaluma ya kazi
CHUNGUZA ZAIDI

MATUKIO YA HIVI PUNDE
Tazama kalenda kwa matukio yanayokufaa.
CHUNGUZA ZAIDI

Unataka kujifunza zaidi?
Viwango vya Elimu ya Taaluma na Kazi nya PA (CEW)
PA CEW ni pahali pazuri pa kuanza unapoanzisha madarasa ya taaluma ya kazi.
Angalia Maswali Yote ya Mara kwa Mara