Masomo ya Baada ya Shule ya Sekondari

Programu za Mabadiliko Bora Za Chuo (CTPs)

Wanafunzi wanaweza kuwa na uzoefu halisi wa chuo kupitia kwa programu za mabadiliko bora za chuo. Programu hizi huwapa wanafunzi uzoefu wa baada ya shule ya upili ambayo inahusiana na kuishi kwa kujitegemea, masomo ya mada inayowavutia, na mafunzo yanayohitaji kujitayarisha kwa kazi.

Programu za Mabadiliko Bora Za Chuo (CTPs) image

Je, Programu ya Mabadiliko Bora ya Chuo Inajumuisha Nini?

first images of Je, Programu ya Mabadiliko Bora ya Chuo Inajumuisha Nini?
second images of Je, Programu ya Mabadiliko Bora ya Chuo Inajumuisha Nini?

Programu za Mabadiliko Bora za Chuo inawapa wanafunzi fursa ya kupata uzoefu wa maisha ya chuo. Wanafunzi wanaweza kuishi chuoni, kufanya kozi zilizo na mada wanazotaka, na kujifunza ujuzi wa kukuza ajira na kuishi kwa kujitegemea. Timu za mabadiliko bora zinaweza kuwasaidia wanafunzi kwa kuwasaidia kuchagua programu bora za mafunzo ya chuo.

  • Ni maeneo gani katika programu ya mabadiliko bora ya chuo inaambatana na maazimio ya mwanafunzi, uwezo wake, na mapendeleo yake?
  • Ni ujuzi upi wa kazi na kuishi kwa kujitegemea ambao mwanafunzi atapata kwa kushiriki katika programu ya mabadiliko bora ya chuo?
Video Explainatory Icon

Sikiza Programu za Masomo ya Pamoja ya Baada ya Shule ya Upili ya Pennsylvania wakizungumzia programu za mabadiliko bora za chuo.

Video Explainatory Arrow

Kuamua Kama Programu ya Mabadiliko Bora ya Chuo Inafaa

Timu za mabadiliko bora zinapaswa kuzingatia chaguzi za programu ambazo zipo na kuwaelekeza wanafunzi kufanya maamuzi yao.

  • Kuwasaidia wanafunzi kutambua uwezo wao na maeneo ya kuboresha
  • Kuwajulisha wanafunzi kuhusu programu za mabadiliko bora za chuo
  • Kuchunguza programu zikiwemo zile zinazohitaji ama zisizohitaji diploma ya shule ya upili
  • Kupanga ziara ya kutembelea chuo na kukutana na ofisi inayotoa huduma za ulemavu
  • Kuwaunganisha na wanachuo wa kitambo na familia zao ili kusikiziza kuhusu maisha yao ya shule
Kuamua Kama Programu ya Mabadiliko Bora ya Chuo Inafaa Image

Kwanini Programu za Mabadiliko Bora za Chuo?

Wakati wanafunzi wanajihusisha na programu hizi, watapata ujuzi wa kuishi kwa kujitegemea, ujuzi wa utayari wa kazi, na kujihisi kama anastahili.

Kufikia Masomo icon

Kufikia Masomo

Wanafunzi watashiriki katika kozi za chuo na kupata msaada wa kibinafsi ilhali wakiwa na ushirika wa maana kwa mada wanazozipenda.

Maisha ya Shule  icon

Maisha ya Shule

Wanafunzi wanaweza kushiriki katika shughuli za chuo. Hii ni pamoja na kuishi chuoni na kujihusisha na shughuli na wanafunzi wengine wa chuo

Ukuzaji wa Taaluma ya Kazi icon

Ukuzaji wa Taaluma ya Kazi

Wanafunzi watachunguza na kujifunza kuhusu ujuzi wa maisha ya kweli ili kukidhi kujitegemea kwao ndiposa watimize ajira unaojumuisha ushindani.

Kupata Uzoefu wa Kujitegemea icon

Kupata Uzoefu wa Kujitegemea

Wanafunzi wataongeza kujitegemea kwao kupitia kwa mahusiano na uzoefu waliopata wakihudhuria chuo.

Career Interested

NYENZO

Chuo cha Kufikiri ni shirika la kitaifa ambacho kinajitolea kuboresha nafasi za elimu-jumuishi ya juu kwa watu wenye ulemavu wa kiakili. Wanafunzi wenye ulemavu wowote watalipata tovuti hii kuwa ya manufaa kwao kwa sababu iko na vifaa na nyenzo za usaidizi.

CHUNGUZA ZAIDI

Latest EVENT DATE

MATUKIO YA HIVI PUNDE

Tazama kalenda kwa matukio yanayokufaa.

CHUNGUZA ZAIDI

Want to Learn PA Secondary

Programu za Mabadiliko Bora za Chuo za PA

Muungano wa Elimu ya Juu Jumuishi ya PA (PIHEC)

Maono ya PIHEC ni kuunda na kutoa mazingira yayojumuisha na kusaidia katika kiwango cha baada ya shule ya upili.

Angalia Maswali Yote ya Mara kwa Mara

TOP