Ushirikiano wa Mashirika Mengi

Mikutano Ya Usiku ya Shirika La Jamii Kuhusu Ajira

Mikutano ya usiku ya shirika la jamii kuhusu ajira ni hafla au matukio iliyoundwa kwa ajili ya wanafunzi kuongea na wataalamu na kupata habari ya programu na huduma katika maeneo yao, na pia vile vile kujifunza kuhusu ujuzi unaohitajika kuanza ama kukaa kwenye njia ya ajira.

Mikutano Ya Usiku ya Shirika La Jamii Kuhusu Ajira  image

Ni nini haswa hufanyika kwenye mkutano wa usiku wa shirika la jamii kuhusu ajira?

first images of Ni nini haswa hufanyika kwenye mkutano wa usiku wa shirika la jamii kuhusu ajira?
second images of Ni nini haswa hufanyika kwenye mkutano wa usiku wa shirika la jamii kuhusu ajira?

Ilhali hafla za jamii huwa tofauti, vipengele vya kawaida ni pamoja na nafasi ya wanafunzi na familia kujifunza kuhusu:

  • Mipango, huduma, na shughuli ambazo mashirika yanatoa
  • Shughuli za uchunguzi za nafasi za taaluma ya kazi ambazo zipo na zinaambatana na uwezo, malengo, maazimio, na mahitaji ya mwanafunzi
  • Nafasi nje ya shule za kupata ujuzi maalum wa kazi au mahojiano ya kazi
  • Huduma za watu wazima, mipango, na shughuli za ajira ambazo zipo baada ya shule ya upili
  • Hati ambazo zinahitajika kuomba nafasi kwa programu ambayo inaambatana na mpango wao wa mabadiliko bora ya sekondari
Video Explainatory Icon

Ofisi ya Ukarabati za Kifundi (OVR) ni mojawapo ya mashirika mengi ya mitaa na majimbo ambayo yanawasaidia wanafunzi walemavu kupata ajira. Sikiza hadithi za wanafunzi ambao wamefaidika kwa kuwa na OVR kama sehemu muhimu ya mabadiliko bora.

Video Explainatory Arrow

Jinsi ya Kuanzisha Mkutano wa Usiku wa Shirika la Jamii

PA Smart ndiyo nguzo ya kusaidia na wataalamu wa ukarabati wanaokusaidia katika mchakato wote wa kutafuta kazi – kuanzia kwa kuchunguza taaluma za kazi, kutengeneza heti za kuomba kazi, jinsi ya kuomba kazo, na mahojiano ya kazi.

  • Kuweka mpango wa kikundi cha mipangilio kuratibu mkutano wa usiku kuhusu ajira
  • Kualika mashirika ambayo yanasaidia kwa kukukuza ujuzi wa kazi, jinsi ya kuomba kazi, na kufanya wanafunzi waajiriwe
  • Kufanya kazi na wanafunzi kutengeneza kontua au wasifu ili kupanga habari vyema
  • Bonyeza hapa kwa habari zaidi kuhusu PA Smart.
Jinsi ya Kuanzisha Mkutano wa Usiku wa Shirika la Jamii Image

Je, Mikutano za Usiku za Mashirika ya Jamii Zinawasaidiaje Wanafunzi?

Wanafunzi hupata faida nyingi kwa kipindi kimoja:

Programu, Huduma, na Shughuli icon

Programu, Huduma, na Shughuli

Washikadau wote na timu za mabadiliko bora wanapatu fursa ya kujifunza kuhusu mashirika tofauti na huduma wanazoweza kutoa.

Shughuli za Uchunguzi wa Taaluma za Kazi icon

Shughuli za Uchunguzi wa Taaluma za Kazi

Kuwasaidia wanafunzi kuzijua mashirika ambayo yanatoa huduma za uchunguzi wa taaluma za kazi na pia kujua kazi na taaluma ambazo zinaambatana na uwezo, malengo, maazimio, na mahitaji zao.

Programu za Watu Wazima icon

Programu za Watu Wazima

Jifunze kuhusu aina za huduma, programu, na shughuli za ajira ambazo zipo kwako ukihitimu chuo cha upili.

Jinsi ya Kutuma Ombi icon

Jinsi ya Kutuma Ombi

Familia na walezi wanajifunza kuhusu cheti ambazo zinahitajika ili kutuma maombi kwa huduma na programu zinazosaidia kutimiza malengo yao ya kazi.

Career Interested

NYENZO

Tathmini ya Ujuzi wa Kijamii

CHUNGUZA ZAIDI

Latest EVENT DATE

MATUKIO YA HIVI PUNDE

Tazama kalenda kwa matukio yanayokufaa.

CHUNGUZA ZAIDI

Want to Learn PA Secondary

Unataka kujifunza zaidi?

Karatasi ya Vidokezo Kuhusu Ushiriki wa Jamii

Tazama hii karatasi ya vidokezo kutoka kwa washirika wetu kwa Mabadiliko ya Uvumbuzi

Tazama Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

TOP