Uajiri

Ushirikiano na Waajiri

Kuanzisha na kudumisha uhusiano na waajiri ni kepengele muhimu cha ufanisi wa mpangilio wa mabadiliko bora.

Ushirikiano na Waajiri image

Mikakati ya Ushiriki

first images of Mikakati ya Ushiriki
second images of Mikakati ya Ushiriki

Ili kutengeneza uhusiano na waajiri, mashule na mashirika yanastahili kutumia mikakati ya ushiriki yenye ufanisi ili kutengeneza nafasi kwa wanafunzi wenye ulemavu. Mazingatio ni pamoja na:

  • Kurahisisha ukabidhi
  • Kuanzisha sehemu moja ya mawasiliano
  • Kuzingatia zana maalum za mafunzo ya kikazi
  • Kuwahusisha mabiashara za mtaani kwa mabaraza ya mpangilio
  • Kukuza mwelimishaji kwa nafasi za mafunzo za mazingira ya kazi
Video Explainatory Icon

Ebu angalia matokeo makubwa yanayoweza kuafikiwa iwapo uhusiano na waajiri utakuwa umetengenezwa

Video Explainatory Arrow

Huduma za Kibiashara za Ofisi ya Ukarabati wa Kiufundi (OVR)

Idara ya Huduma za Kibiashara ya OVR inaweza kufanya kazi na waajiri kuajiri na kuhifahdi wanafunzi waliohitimu na wanafikia mahitaji ya kazi. Wanaweza kusaidia na:

  • Uajiri wa wafanyikazi
  • Kuchambua nafasi za uafikiaji wa mazingira ya kazi
  • Kutoa motisha ya kifedha
  • Kutoa mafunzo ya ufahamu wa ulemavu
  • Kutoa nyenzo za kuunda miunganisho
Huduma za Kibiashara za Ofisi ya Ukarabati wa Kiufundi (OVR) Image

Kushirikiana na Waajiri Unawasaidiaje Wanafunzi?

Wakati ambapo wanafunzi wako na nafasi za kutangamana na waajiri, wanaweza kufaidika kutoka kwa:

Uzoefu wa Mafunzo ya Kikazi  icon

Uzoefu wa Mafunzo ya Kikazi

Wanafunzi wanaweza kupewa nafasi za kujifunza ujuzi wa kazi kwa taaluma ya kazi waliochagua

Nafasi za Ushauri  icon

Nafasi za Ushauri

Wanafunzi wanaweza kupata msaada kutoka kwa watu walio katika sekta ambayo wanaazimia kujiunga.

Kufundisha Kazi  icon

Kufundisha Kazi

Wanafunzi wanaweza kupata mafunzo ya kibinafsi na msaada wenye muundo wa kipekee wakiwa kazini

Uunganisho  icon

Uunganisho

Wanafunzi watapata nafasi za kujenga uhusiano na waajiri wanaoweza kuwasaidia kufaulu siku za usoni.

Career Interested

NYENZO

Bonyeza hapa kupata nyenzo ya mwelekezo:

CHUNGUZA ZAIDI

Latest EVENT DATE

MATUKIO YA HIVI PUNDE

Tazama kalenda kwa matukio yanayokufaa.

CHUNGUZA ZAIDI

Want to Learn PA Secondary

Unataka kujifunza zaidi?

Huduma za Kibiashara za OVR

Tazama kipeperushi cha Huduma za Kibiashara cha OVR ili kujifunza zaidi.

Angalia Maswali Yote ya Mara kwa Mara

TOP