Uajiri

Huduma za Mafunzo ya Kazi

Kocha wa kazi anaweza kufanya kazi na wanafunzi kazini mwao ili kujifunza ujuzi maalum wa kuteleza kazi mpaka wakati wanafunzi watatimiza matarajio ya mwajiri wao.

Huduma za Mafunzo ya Kazi  image

Huduma za Mafunzo ya Kazi Inajumuisha Nini?

first images of Huduma za Mafunzo ya Kazi Inajumuisha Nini?
second images of Huduma za Mafunzo ya Kazi Inajumuisha Nini?

Kufanya kazi na Kocha wa Kazi inampa mwanafunzi:

  • Mafunzo ya moja-kwa-moja katika mazingira ya kazi
  • Mikakati ya kukabiliana na kazi ngumu kazini
  • Nafasi ya kukuza mawasiliano kazini na pia kutunza urafiki na uhusiano na wafanyikazi wenza
  • Kuwasaidia wafanyikazi wenza na wasimamizi kuelewa na kuheshimu uwezo na mahitaji za mwanafunzi
Video Explainatory Icon

Ebu angalia mfano wa mafunzo ya kazi kazini.

Video Explainatory Arrow

Huduma za Ajira Zinazofadhiliwa na kufadhiliwa na OVR

Huduma za Ajira Zinazosaidiwa zimefadhiliwa na Ofisi ya Ukarabati wa Kiufundi (OVR) zimekusudiwa ili wanafunzi wafaulu na watimize uimara katika ajira inayojumuisha ushindani. Huduma za Ajira Zinazofadhiliwa zinaanza kabla ya kutafuta kazi, inaendelea wakati wa mwanzo wa ajira, na unamalizika wakati ambapo mwanafunzi anakuwa imara kazini mwake.

  • Huduma zitatolewa kwa miundo tofauti ili kufikia mahitaji ya wanafunzi
  • Mpango wa Msaada wa Ajira umebinafsishwa kwa wanafunzi
  • Huduma ya kutoa mwelekeo kazini hutolewa na kocha wa kazi ili wanafunzi wazielewe majukumu yao kazini na matarajio ya mwajiri
  • Msaada unaotolewa na kocha wa kazi ili kuhakikisha kuwa uzoefu mwema kwa masuala ya kutunza muda kazini, mahusiano na wafanyikazi wenza, na majukumu ya kazi
Huduma za Ajira Zinazofadhiliwa na kufadhiliwa na OVR Image

Ni nini Huduma za Mafunzo ya Kazi Inawapa Wanafunzi?

Timu za mabadiliko bora zinapaswa kuzingatia faida za mafunzo kazini kwa kila mwanafunzi.

Mikakati ya Kazi  icon

Mikakati ya Kazi

Maarifa ya jinsi ya kuvunja kazi ngumu katika hatua ndogo ndogo ambazo zinahakikisha kuwa mwanafunzi amemaliza kazi pekee yake.

Ujuzi wa Kazi  icon

Ujuzi wa Kazi

Jifunze jinsi ya kumaliza kazi kwa njia ambayo inakidhi mahitaji ya mwajiri.

Ujuzi wa Kutangamana Kijamii  icon

Ujuzi wa Kutangamana Kijamii

Maarifa ya jinsi ya kufanikiwa katika mahojiano ya kazi, jinsi ya kushirikiana na wengine katika timu, na jinsi ya kushughulikia migogoro na wanfayikazi wenza.

Uzoefu wa Kazi  icon

Uzoefu wa Kazi

Kupata uzoefu wa kazi halisi ya kulipwa katika viwanda ambavyo wanafunzi wanaazimia.

Career Interested

NYENZO

Ebu angalia hizi nyenzo za wataalamu wa mafunzo ya kazi ya Pre-ETS

CHUNGUZA ZAIDI

Latest EVENT DATE

MATUKIO YA HIVI PUNDE

Tazama kalenda kwa matukio yanayokufaa.

CHUNGUZA ZAIDI

Want to Learn PA Secondary

Unataka kujifunza zaidi?

Tazama Mwelekezo wa Mafunzo ya Kazi ya NTACT.

Jifunze mengi kuhusu nyenzo za mafunzo za bure zilizoundwa kuwapa wafanyikazi wote wa shule, wakiwemo wafanyakazi wa shule ambao wanatimiza majukumu ya kocha wa kazi na idara nyingine yoyote, habari kuhusu jinsi ya kutoa Elimu ya Ajira za Kijamii kwa wanafunzi wenye ulemavu.

Angalia Maswali Yote ya Mara kwa Mara

TOP