Uajiri

Mafunzo ya Ukiwa Kazini

Mafunzo ya Ukiwa Kazini huwapa wanafunzi nafasi ya kupata maelekezo ya hatua-kwa-hatua kutoka kwa mtaalamu kuhusu jinsi ya kufanya kazi fulani kazini. Mafunzo inaweza kumfanya mwanafunzi ajiamni zaid kuhusu kumaliza kazi na kukuza maarifa yake ya kitaaluma kuhusu ujuzi muhimu kwa kazi ya ndoto yake.

Mafunzo ya Ukiwa Kazini  image

Mafunzo ya Ukiwa Kazini Yanajumuisha Nini?

first images of Mafunzo ya Ukiwa Kazini Yanajumuisha Nini?
second images of Mafunzo ya Ukiwa Kazini Yanajumuisha Nini?

Mwanafunzi anaweza kujitayarisha kwa mafunzo ya kazini kwa:

  • Kumaliza shughuli za kuzitambua taaluma za kazi ambazo zinaambatana na maazimio na malengo ya mwanafunzi
  • Kuzitambua ujuzi ambao unahitajika ili kufaulu kwa kazi ambayo mwanafunzi anakusudia kufanya
  • Kupanga mikutano na waajiri wanatoa mafunzo ya kikazi kazini mwao
  • Kutenga muda wa kushiriki katika mafunzo ya kikazi ambayo yanaambatana na malengo ya shule na ya maisha ya mwanafunzi
Video Explainatory Icon

Ebu itazame video hii ya uanagenzi - aina ya mafunzo ya ukiwa kazini.

Video Explainatory Arrow

Mafunzo ya Ukiwa Kazini Pia Inaweza Kujumuisha Uanagenzi

Tovuti zinaweza kuomba msaada wa kifedha ili kutoa mafunzo ya ufundi kupitia kiungo cha taaluma ya kazi ya PA

  • Programu ya Ruzuku ya Uanagenzi ni programu ya jimbo ambalo linatoa msaada kwa programu za mafunzo ya ufundi ambazo zimesajiliwa
  • Lengo la programu hii ni kuongeza uwepo wa mafunzo ya ufundi kwa waajiri walioko Pennsylvania ili kuwasaidia na kuajiri watu wenye talanta na kuzikuza talanta hizo.
Mafunzo ya Ukiwa Kazini Pia Inaweza Kujumuisha Uanagenzi  Image

Mafunzo ya Ukiwa Kazini Inawezaje Kuwasaidia Wanafunzi?

Wanafunzi wanapopanga hatua za vitendo za malengo ya kazi yao na kujiunganisha na waajiri ambao wanatoa mafunzo ya ukiwa kazini, watapata:

Chaguzi za Kazi  icon

Chaguzi za Kazi

Kuelewa jinsi maazimio, mapendeleo, na maadili yanaambatana na taaluma za kazi tofauti na kuchunguza nafasi za ajira.

Uzoefu wa Taaluma ya Kazi  icon

Uzoefu wa Taaluma ya Kazi

Kufanya kazi katika mazingira halisi ya kazi huwapa wanafunzi fursa ya kujifunza ujuzi na maarifa ambao unahitajika kumaliza kazi, kutoa nafasi za kutangamana na wengine, na kujifunza kutunza wakati.

Ajira ya Kulipwa  icon

Ajira ya Kulipwa

Wanafunzi hupata malipo ya fedha kwa ujuzi na maarifa wanayoonyesha kazini kwa mwajiri

Uamuzi wa Kibinafsi  icon

Uamuzi wa Kibinafsi

Kujifunza na kuwa na ustadi wa ujuzi ambao wanafunzi wanahitaji kujitegemea na kujiamini kwa kile wanachofanya kazini.

Career Interested

NYENZO

Tazama tovuti ya OVR kwa habari zaidi kuhusu mafunzo ya ukiwa kazini

CHUNGUZA ZAIDI

Latest EVENT DATE

MATUKIO YA HIVI PUNDE

Tazama kalenda kwa matukio yanayokufaa.

CHUNGUZA ZAIDI

Want to Learn PA Secondary

Unataka kujifunza zaidi?

Tazama Kiungo cha Taaluma ya Kazi ya PA

Chunguza nyenzo binafsi za Kiungo cha Taaluma ya Kazi ya PA kwa mtazamo wa kazi na huduma za mafunzo zilizobinafsishwa zaidi.

Angalia Maswali Yote ya Mara kwa Mara

TOP