Ushiriki wa Familia

Usaidizi wa Kifamilia wa Rika kwa Rika

Sasa hivi, familia katika jamii na jimbo wanasaidia kupanga mafanikio ya vijana wao baada ya shule ya upili. Inaweza kuwa ya faida sana kuziunganisha familia zilizopo katika ratiba ya mchakato wa mabadiliko bora na familia zingine wanaopitia ratiba hiyo au walio na uzoefu uliotokana na kupitia hali kama hiyo. Timu ya mabadiliko bora inapaswa kuzingatia jinsi bora ya kuwaunganisha familia kwa mashirika ya kifamilia, vikundi vya jamii, na familia zingine ili kushirikiana kwa maarifa, kuunda msaada, na kujifunza ‘mbinu za kazi’, na kupata nafuu.

Usaidizi wa Kifamilia wa Rika kwa Rika image

Usaidizi wa Kifamilia wa Rika kwa Rika ni Nini?

first images of  Usaidizi wa Kifamilia wa Rika kwa Rika ni Nini?
second images of  Usaidizi wa Kifamilia wa Rika kwa Rika ni Nini?

Watu wengi hufaidika na hufurahia kusikia na kujifunza kutoka kwa wengine waliopitia njia, mapambano, na hali kama yao. Kuna muunganisho wa hapo kwa hapo, hisia ya uaminifu, na thamani kwa kusimulia hadithi na maarifa ambazo zimepatikana kutoka kwa uzeofu wa kuyapitia hali hayo. Kwa kuwaunganisha familia kwa familia zingine na makundi ambayo yanaangazia na kuhimiza miunganisho hayo, timu za mabadiliko bora zinasaidia familia kujiamini, kupata habari, na ujuzi wa kusaidia maisha ya nyumbani na upangaji wa mabadiliko bora. Msaada wa kifamilia wa rika kwa rika hutoa mawasiliano kwa njia ya kukaribisha, iliyo ya kitamaduni mbali mbali, na inayoeleweka kupitia mbinu tofauti tofauti ili kuunganisha, kukuza, na kusaidia wanafunzi kutambua, kuandika, na kutimiza malengo yao ya mabadiliko bora. Hizi ndizo baadhi ya mazingatio ambazo timu zinaweza kufanya ili kuunganisha famila:

  • Ni mashirika gani ya familia au wawasiliani wa kibinafsi ambao timu ya mabadiliko bora inaweza kuwashirikisha na familia kwa ajili ya msaada wa kifamilia wa rika kwa rika?
  • Ni vizuizi vipi vinazuia familia kufikia na kukuza miunganisho na msaada wa kifamilia wa rika kwa rika? Ni vipi hivi vizuizi vinaweza kuepukwa?
  • Ni nini timu ya mabadiliko bora inaweza kuanzisha, kukuza, na kujenga ili iweze kuwaunganisha familia kwa msaada wa rika kwa rika katika jamii zao?
  • Timu ya mabadiliko bora inatoaje nafasi za uongozi wa kifamilia na njia za kutoa sauti katika msaada wa rika kwa rika?
  • Usaidizi wa rika kwa rika una faida gani kwa familia? Kwa mwanafunzi? Na kwa timu?
Video Explainatory Icon

Msaada wa Kifamilia wa Rika kwa Rika

Video Explainatory Arrow

Msaada wa Kifamilia Wa Rika kwa Rika Hujumuisha Nini?

Timu ya mabadiliko bora inaweza kuisadia familia kupata msaada wa kifamilia wa rika kwa rika kwa...

  • Kuwaunganisha familia kwa familia zingine na kutengeneza nafasi za kujifunza vidokezo na mikakati ya kutoa msaada katika mchakato wa mabadiliko bora
  • Kuwahusisha familia kushirikiana kutoa maarifa kwa familia zingine na kuunda mitandao ya mawasiliano ya kubadilishana
  • Kuunda na kuwatambulisha familia nafasi zilizopo kama kikosi cha kazi cha mtaa, vikundi vya msaada, na mikutano ambapo familia zinaweza kuunganishwa na familia zingine
  • Kutathmini vikwazo vilivyopo katika utoaji wa msaada wa kifamilia wa rika kwa rika na kujitahidi kuyapunguza vikwazo hivyo ilhali wakijenga majukumu ya uongozi wa familia
  • Kuwasilisha nyenzo kwa muundo ulio wa kirafiki kwa familia na kwa kupitia mbinu tofauti tofauti
  • Kutoa msaada kwa familia kuunganishwa na mashirika ya kifamilia yaliyo nje ya shule ili kupata nyenzo, misaada, na kujifunza
Msaada wa Kifamilia Wa Rika kwa Rika Hujumuisha Nini?  Image

Ni Nini Msaada Wa Kifamilia Wa Rika Kwa Rika Unaweza Kutoa?

Wakati ambapo timu ya mabadiliko bora inahimiza msaada wa kifamilia wa rika kwa rika, itaisadia familia na:

Upangaji Ulioboreshwa icon

Upangaji Ulioboreshwa

Msaada wa kifamilia wa rika kwa rika kwa kawaida huzunguka kwa mahitaji na matakwa ya familia ya siku za usoni na hutoa habari kwa njia iliyo ya kirafiki kwa familia na kwa mbinu tofauti tofauti.

Kushirikiana kwa Habari  icon

Kushirikiana kwa Habari

Kushirikiana baina ya familia hukuza kujiamini, huongeza msaada, na kuwezesha familia kuuliza maswali, kujijenga, na kuunda nafasi za uongozi kupitia kwa mchakato huu.

 Nafasi za Kujitetea icon

Nafasi za Kujitetea

Msaada wa kifamilia wa rika kwa rika hukuza ujuzi wa kujitetea kama familia, kutenda, na mawasiliano yenye maana ili famili ziweze kukua na kujifunza jinsi ya kujizungumzia.

 Mahusiano ya Kimsaada  icon

Mahusiano ya Kimsaada

Familia hupata mahusiano na rika zao zilizobora, za uaminifu, iliyo ya utamaduni mbali mbali, na ya kukaribisha katika mazingira ya msaada.

Career Interested

NYENZO

Jifunze mengi kwa kuchunguza Familia hadi Upeo

CHUNGUZA ZAIDI

Latest EVENT DATE

MATUKIO YA HIVI PUNDE

Tazama kalenda kwa matukio yanayokufaa.

CHUNGUZA ZAIDI

Want to Learn PA Secondary

Unataka kujifunza zaidi?

Mtandao wa Familia wa PA

Mtandao wa Familia wa PA ulianzishwa chini ya uongozi wa Maono ya Usawa na husaidiwa na Ofisi ya Mipango ya Maendeleo (ODP) kama sehemu ya Jamii ya Kutenda ya Pennsylvania: Kusadia Familia Katika Muda Wote wa Maisha

Tazama Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

TOP