Masomo ya Baada ya Shule ya Sekondari

Programu za Mafunzo ya Taalamu ya Kazi ya Baada ya Shule ya Sekondari

Hakuna njia moja iliyo bora kwa kila mwanafunzi wa shule ya upili. Kujiunga na chuo ama chuo kikuu sio maazimio ya kila mtu. Kunazo chaguzi nyingi sana ambazo wanafunzi wanaweza kuchagua wanapopanga kuhusu masomo na mafunzo yao ya baadaye itakayowaelekeza kufikia malengo yao ya ajira. Programu za mafunzo ya taaluma ya kazi ndio bora zaidi kuwasaidia wanafunzi kutimiza ndoto zao.

Programu za Mafunzo ya Taalamu ya Kazi ya Baada ya Shule ya Sekondari  image

Je, Programu ya Mafunzo ya Taaluma ya Kazi ni Nini?

first images of Je, Programu ya Mafunzo ya Taaluma ya Kazi ni Nini?
second images of Je, Programu ya Mafunzo ya Taaluma ya Kazi ni Nini?

Programu za mafunzo ya taaluma ya kazi inawapa wanafunzi fursa ya kukuza ujuzi muhimu wakati bado wanajitayarisha kupata vyeti maalum. Programu za mafunzo ya taaluma ya kazi huhusisha mchanganyiko wa madarasa na kujifunza kwa vitendo. Timu za mabadiliko bora zinaweza kuwasaidia wanafunzi kuamua kama programu ya mafunzo inawafaa kwa kuzijua mahitaji za kupata kazi katika sekta wanayotaka.

  • NI chaguzi zipi za taaluma ya kazi ambazo zinaambatana na maazimio, uwezo, na mapendeleo ya mwanafunzi?
  • Je, hizi taaluma za kazi au ajira zinahitaji vyeti maalum au mafunzo?
  • Je, ni wapi vyeti maalum au programu za mafunzo zinatolewa na ni mazingira ipi inamfaa mwanafunzi zaidi?
  • Je, ni eneo gani za ujuzi ambazo mwanafunzi anaweza kuhitaji kuboresha kupitia kwa programu ya mafunzo ya taaluma ya kazi ili apate ufanisi kwa taaluma ya kazi anayoazimia?
Video Explainatory Icon

Mkusanyiko wa video za KituoKimojaChaKazi ni pahali pema pa kuanzia uchunguzi wa programu za mafunzo ya taaluma ya kazi ambazo zipo.

Video Explainatory Arrow

Kuamua Kama Programu Ya Mafunzo Ya Taaluma Ya Kazi Ni Chaguo Bora?

Timu ya mabadiliko bora inaweza kuwasaidia wanafunzi kuamua kama programu ya mafunzo ya taaluma ya kazi ni chaguo bora kwa kuziangalia chaguzi ambazo zipo.

  • Non-degree or certification program for students with disabilities located in the setting of a 2- or 4-year college or university
  • Vocational or technical programs/schools
  • Adult education and continuing education programs
  • Apprenticeship or employer-provided job-training programs
Kuamua Kama Programu Ya Mafunzo Ya Taaluma Ya Kazi Ni Chaguo Bora?  Image

Programu za Mafunzo ya Taaluma ya Kazi ya Baada ya Shule ya Sekondari: Njia ya Ufanisi

Timu za mabadiliko bora zinaweza kuwasaidia wanafunzi ambao wanajitayarisha kwa programu za mafunzo ya taaluma ya kazi kwa kuangazia nafasi ambazo zipo kupitia programu kama hizo.

Kujifunza Ujuzi   icon

Kujifunza Ujuzi

Wanafunzi wanaweza kujifunza maudhui na ujuzi unaowatayarisha kwa yale ambayo wanapaswa kujua na kufanya katika mazingira ya kazi.

Kupata Vyeti  icon

Kupata Vyeti

Wanafunzi wanaweza kuongeza kutamaniwa kwao na soko la ajira na kupata ujuzi maalum kupitia programu za vyeti.

Nafasi za Kuunda Mtandao icon

Nafasi za Kuunda Mtandao

Wanafunzi wanaweza kujihusisha na waajiri na kutengeneza uhusiano mengine ili kuwasaidia katika njia yao ya ajira.

Kupata Ajira  icon

Kupata Ajira

Wanafunzi wakiwa na ujuzi, maarifa, vyeti, na uzoefu wanaopata katika programu za mafunzo ya taaluma ya kazi, wanaweza kupata mapato na marupurupu kazini.

Career Interested

NYENZO

Unaweza kufikia orodha ya programu za mafunzo ya taaluma ya kazi ya PA (Iliyopewa leseni kama Shule za Kibinafsi Zilizosajiliwa) hapa.

CHUNGUZA ZAIDI

Latest EVENT DATE

MATUKIO YA HIVI PUNDE

Tazama kalenda kwa matukio yanayokufaa.

CHUNGUZA ZAIDI

Want to Learn PA Secondary

Unataka kujifunza zaidi?

Tazama Kifaa cha Upangaji wa Taaluma ya Kazi kutoka kwa tovuti ya Mpangaji wa Elimu

Tathminini na habari zinazomuunganisha mwanafunzi na taaluma ya kazi au sekta ambayo inamfaa zaidi, na habari kuunganishwa kwa shule ambazo ndizo bora zaidi kutoa programu za mafunzo kwa taaluma ya kazi hizo.

Angalia Maswali Yote ya Mara kwa Mara

TOP