Kuishi kwa Kujitegemea na Ushiriki wa Jamii

Burudani

Shughuli za burudani ni za muhimu kwa ustawi, kupunguza msongo wa akili, kukutana na kutangamana na watu wengine, na kuleta furaha katika maisha. Shughuli hizi huwapa wanafunzi wengi wenye ulemavu nafasi ya kujifunza ujuzi tofauti tofauti ambazo zinaweza kutumika kwa mazingira mengine. Shule zinaweza kutumia upangaji unaomlenga mtu binafsi kuamua maazimio ya mwanafunzi ili kumwelekeza kushiriki katika shughuli za burudani.

Burudani  image

Burudani

first images of Burudani
second images of Burudani

Je, watu wazima wanawezaje kuwezesha shughuli za burudani?

  • Kuzingatia maazimio ya mtu binafsi
  • Kuchagua shughuli inayozingatia kiwango cha utendaji kazi na uwezo wa mtu binafsi
  • Kutoa msaada ili kuweka shughuli hizo zifikiwe
Video Explainatory Icon

Kufanya Burudi Iwe Muhimu

Video Explainatory Arrow

Burudani

Timu yako ya mabadiliko bora inaweza kukusaidia kushiriki katika burudani kwa kuhakikisha kuwa wanafunzi:

  • Wako na fursa ya kufikia jamii yao
  • Wanazingatia vikwazo ambazo zinawazuia kushiriki kwa burudani na jinsi wanaweza kuondoa vikwazo hivyo
  • Wanaambatanisha ujuzi na maazimio na shughuli ya burudani
Burudani  Image

Ushiriki kwa Burudani Unawafaidi Aje Wanafunzi?

Wanafunzi wanapata mwelekezo na msaada kwa burudani unaohusiana na:

Mahusiano ya Rika na Ujumuishaji wa Kijamii  icon

Mahusiano ya Rika na Ujumuishaji wa Kijamii

Kushiriki katika shughuli za burudani inatoa nafasi za kutangamana kijamii na kukuza urafiki.

Kuimarisha Ubora wa Maisha icon

Kuimarisha Ubora wa Maisha

Kushiriki katika shughuli za burudani ina athari bora kwa afya ya kimwili, afya ya kiakili, kupunguza msongo wa akili, kupunguza changamoto za kitabia, na kuboresha ukuzaji wa urafiki na kuongeza kuridhika kwa familia.

Kujithamini na Faida za Kihisia icon

Kujithamini na Faida za Kihisia

Kuhusishwa kwa shughuli za burudani inakuza dhana ya kibinafsi ya mwanafunzi na kujithamini. Kushiriki katika shughuli za burudani inaweza kupunguza au kuzuia hali za kihisia, huzuni, shida ya kuzoea kwa hali, msongo wa akili, wasiwasi, na tabia mbaya.

Ujuzi wa Usafiri  icon

Ujuzi wa Usafiri

Kusafiri ili kufanya mambo ambayo mtu anapenda huwaruhusu wanafunza kupata maarifa ya jinsi ya kutoka pahali moja kwenda kwingine kutumia mbinu za usafiri ambazo zipo.

Career Interested

NYENZO

Leta Hadithi Nyumbani

CHUNGUZA ZAIDI

Latest EVENT DATE

MATUKIO YA HIVI PUNDE

Tazama kalenda yetu ya mafunzo kwa habari zaidi

CHUNGUZA ZAIDI

Want to Learn PA Secondary

NYENZO

Laini ya Burudani ya PA

1-877-986-4550

Tazama Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

TOP