Ushirikiano wa Mashirika Mengi

Mikutano ya Mabadiliko Bora

Mkutano wa mabadiliko bora, kama mkutano wowote ule, unawaleta pamoja watu, mashirika, programu, na kwa wakati mwingine kampuni ambazo zina nia ya kushiriki na kupokea habari. Wanafunzi na familia huudhuria mikutano ya mabadiliko bora ili kujifunza mengi kuhusu safari yao ya mabadiliko bora na pia huduma na msaada ambazo zinapatikana kwa ajili yao.

Mikutano ya Mabadiliko Bora  image

Mikutano ya Mabadiliko Bora ya Pennsylvania

first images of Mikutano ya Mabadiliko Bora ya Pennsylvania
second images of Mikutano ya Mabadiliko Bora ya Pennsylvania
Video Explainatory Icon

Angalia kwa haraka baadhi ya faida ambavyo Mkutano wa Mabadiliko Bora ya Jumuiya ya PA inatoa.

Video Explainatory Arrow

Faida ni Zipi za Kuhudhuria Mkutano wa Mabadiliko Bora?

Mkutano wa Mabadiliko Bora ya Jumuiya ya PA iko wazi kwa waelimishaji, wanafunzi, familia, mashirika, na wataalamu wengine ambao wanasaidia wanafunzi walio katika umri wa mabadiliko bora. Kuna faida nyingi za kuhudhuria, zikiwemo:

  • Kujifunza kuhusu vitendo bora
  • Kujiunganisha na wengine
  • Kupata nyenzo na programu
Faida ni Zipi za Kuhudhuria Mkutano wa Mabadiliko Bora?  Image

Kuhudhuria Mkutano wa Mabadiliko Bora Kunawezaje Kuwasaidia Wanafunzi?

Wanafunzi ambao wanahudhuria mkutano wa mabadiliko bora wanaweza:

Kutengeneza Uhusiano icon

Kutengeneza Uhusiano

Wanafunzi wanaweza kujiunganisha na kutengeneza uhusiano na wanafunzi wengine walio au wasio na ulemavu, na pia kujiunganisha kwa Mtandao wa Uongozi wa Vijana wa Pennyslvania

Kujifunza icon

Kujifunza

Wanafunzi watapata fursa ya kujifunza kuhusu mchakato wa mpangilio wa mabadiliko bora na kupata nyenzo ambazo ziko kuwasaidia.

Fursa ya Kufikia icon

Fursa ya Kufikia

Wanafunzi watapata fursa ya kufikia nyenzo tofauti, msaada, na programu za kuwasaidia kwa mabadilko bora wa kuingia kwa utu uzima.

Kuwezesha  icon

Kuwezesha

Wanafunzi watatengeneza ujuzi wa kuwawezesha kuchukua hatamu za umiliki wa mpango wa mabadiliko bora.

Career Interested

NYENZO

Je, unataka kuhudhuria mkutano?

CHUNGUZA ZAIDI

Latest EVENT DATE

MATUKIO YA HIVI PUNDE

Tazama kalenda kwa matukio yanayokufaa.

CHUNGUZA ZAIDI

Want to Learn PA Secondary

Unataka kujifunza zaidi?

Angalia mafunzo yanayotolewa na Kituo cha Kitaifa cha Kutoa Msaada wa Kiufundi kwa Mabadiliko Bora: Ushirikiano

Pata fursa ya kufikia habari, zana, na misaada ya kusaidia wadau wengi kutoa huduma ya kufaa na mafundisho kwa wanafunzi na vijana walemavu walio nje ya shule.

Tazama Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

TOP