Ushirikiano wa Mashirika Mengi

Halmashauri ya Kuratibu Mabadiliko Bora

Pennsylvania iko na historia ya kusifika ya kuwasaidia vijana kwa mabadiliko bora kutoka shule wakiingia kwa utu uzima. Kutoka 1990, Halmashauri ya Mtaa ya Kuratibu Mabadiliko Bora (LTCCs) jimboni kwetu imechangia pakubwa kwa mchakato huu. Kunazo zaidi ya Halmashauri 70 za Mitaa ya Kuratibu Mabadiliko Bora (LTCCs) zinazohudumu toka pande moja hadi mwingine wa Pennsylvania. Kwa uwakilishi wa wadau wengi, wengi wao hukutana mwaka mzima ili kubadilishana habari na nyenzo. Halmashauri zingine hufanya ufanyikazi kwa pamoja ili kuzitambua nafasi za msaada na huduma ambazo zipo kwa vijana ambao wako katika harakati ya mabadiliko bora. Wengine huzingatia maendeleo na utoaji wa miradi, bidhaa, na shughuli. Kwa vijana, familia, na wadau wote wa mabadiliko bora, LTCCs ndio msingi wa mawasiliano kwa msaada wa mtaa na nyenzo ambazo zinahusiana na mabadiliko bora ya sekondari.

Halmashauri ya Kuratibu Mabadiliko Bora  image

Halmashauri ya Kuratibu Mabadiliko Bora

first images of Halmashauri ya Kuratibu Mabadiliko Bora
second images of Halmashauri ya Kuratibu Mabadiliko Bora

Baraza la kuratibu mabadiliko bora hukusanyika kuangazia mambo kama:

  • Kutambua ni lipi linalofanya kazi na ni lipi lisilofanya kazi kuhusu nafasi za mabadiliko bora
  • Kutatua matatizo kama timu kwa maeneo ambayo yanahitaji uboreshaji
  • Kuboresha juhudi za kuwafikia vijana, familia, waajiri, na mashirika
  • Kuratibu juhudi kati ya washikadau
  • Kuongeza nafasi kwa vijana kujihusisha na shughuli za mabadiliko bora
Video Explainatory Icon

Bonyeza hapa kujifunza mengi kuhusu halmashauri ya Kuratibu Mabadiliko Bora

Video Explainatory Arrow

Faida za Kujiunga na Halmashauri ya Mtaa ya Kuratibu Mabadiliko Bora

Kuna faida nyingi za kujiunga na baraza la mtaa la mabadiliko bora katika eneo lako. Kwa kujiunga, utajifunza:

  • Kuhusu wadau muhimu wanaofanya kazi ya mabadiliko bora katika jumuiya yako
  • Kile ambacho viongozi wa mabadiliko bora hufanya kutatua shida zinazoibuka wakati wa mabadiliko bora kwa vijana na familia kwa jumuiya yako
  • Jinsi mashirika tofauti na shule hufanya kazi pamoja kusaidia kwa mchakato wa mabadiliko bora kwa vijana walio kwa umri wa mabadiliko bora katika jumuiya yako
Faida za Kujiunga na Halmashauri ya Mtaa ya Kuratibu Mabadiliko Bora Image

Halmashauri ya ya Kuratibu Mabadiliko Bora huwafaidi Wanafunzi Vipi?

Dhamira na Maono ya Pamoja

Huduma Zilizoratibiwa  icon

Huduma Zilizoratibiwa

Mashirika huratibu huduma zinazotolewa.

Kutatua Matatizo  icon

Kutatua Matatizo

Kutambua na kuhutubia masuala na vikwazo katika jamii ili kuhakikisha kuwa wanafunzi walemavu wanapata msaada wanaohitaji.

Ushirikiano icon

Ushirikiano

Kuelewa jinsi mashirika katika jamii yanafanya kazi pamoja kuwasaidia wanafunzi kufikia kile wanachohitaji ili kuafikia malengo yao ya kikazi, shule, na maisha ya kujitegemea.

Kuongezeka kwa Uzoefu wa Ajira icon

Kuongezeka kwa Uzoefu wa Ajira

Kupata uzoefu ya kuwatayarisha kwa ajira.

Career Interested

NYENZO

YAJA HIVI KARIBUNI: Unataka kupata Halmashauri ya Mabadiliko Bora katika eneo lako?

CHUNGUZA ZAIDI

Latest EVENT DATE

MATUKIO YA HIVI PUNDE

Tazama kalenda kwa matukio yanayokufaa.

CHUNGUZA ZAIDI

Want to Learn PA Secondary

Unataka kujifunza zaidi?

Tazama nyenzo hii kujifunza jinsi ya kuanza, kuboresha, au kuendeleza halmashauri ya mabadiliko bora

Seti ya Zana ya Uendelevu ya Viongozi wa Timu ya Mabadiliko Bora ya NTACT

Tazama Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

TOP