Nini Haswa Hufanyika Katika Maonyesho ya Mabadiliko Bora:


Katika Maonyesho ya Mabadiliko Bora:
- Mashirikia yasiyo ya faida na makampuni hushirikiana kwa kutoa habari zinazohusu programu ya mabadiliko bora, huduma, na misaada wanayotoa
- Wanafunzi wanaweza kujifunza ujuzi wa kujibu maswali ya mahojiano ya kazi
- Wanafunzi wanaweza kujifunza kuhusu madarasa ambazo wanaweza kufanya baada ya kumaliza shule ya upili ambazo zitawasaidia kujifunza mengi kuhusu ujuzi ambao unahitajika kwa taaluma ya kazi ambazo wanaazimia
- Wanafunzi na familia wanajifunza kuhusu uzoefu wa kazi za kulipwa na nafasi ambazo zipo za mafunzo ya kuendelea
Inchukua nini Kupanga Maonyesho ya Mabadiliko Bora Shuleni Kwetu?
Umewahi kujiuliza itachukua nini kuwa mwenyeji wa maonyesho ya mabadiliko bora katika shule yako? Fanya kazi na kamati ili kuzingatia vipengele hivi muhimu:
- Washiriki
- Nafasi za Kujifunza
- Wachuuzi, Waonyeshaji, na Nyenzo
- Ratiba
- Eneo

Ni Nini Maonyesho ya Mabadiliko Bora Yanaweza Kuwafanyia Wanafunzi?
Maonyesho ya mabadiliko bora huwa ya ufanisi zaidi ikiwa washirika wote wa mipangilio ya mabadiliko bora wanafanya kazi pamoja kutoa mawasilisho za aina mbalimbali, nafasi za kujifunza, na waonyeshaji wanaozingatia:

Ufahamu wa Taaluma ya Kazi
Wanafunzi wako na nafasi ya kujifunza kuhusu nafasi tofauti za kazi ambazo zipo katika maeneo yao

Uzoefu katika Jamii
Wanafunzi wanajifunza kuhusu nafasi tofauti katika jamii na kuunda mtandao wa uhusiano na mashirika tofauti na waajiri.

Nyenzo
Wanafunzi wanaweza kujifunza jinsi ya kufikia nyenzo ambazo zinapatikana kuwasaidia na malengo yao ya mabadiliko bora

Juhudi za Uratibu
Wanafunzi hufaidika kutoka kwa familia, shule, mashirika, na washiriki wanaofanya kazi pamoja ili kuongeza nafasi nyingi

NYENZO
Tazama Seti hii ya Zana ya Mabadiliko Bora
CHUNGUZA ZAIDI

MATUKIO YA HIVI KARIBUNI
Tazama kalenda kwa matukio yanayokufaa.
CHUNGUZA ZAIDI

Unataka Kujifunza Zaidi?
Jumuiya ya Pennsylvania juu ya Mkutano wa Mabadiliko Bora
Kusudia kuhudhuria mkutano wa kila mwaka wa mabadiliko bora PA
Tazama Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara