Ushirikiano wa Mashirika Mengi

Uajiri wa Wafanyikazi wa Mabadiliko

Ni jambo moja kujua kuwa mashiriki yapo. Jambo linalofuata ni kuzihusisha mashirika yanayofaa ili kutoa msaada na huduma kulingana na mpangilio wa mwanafunzi wa mabadiliko bora baada ya shule ya upili.

Uajiri wa Wafanyikazi wa Mabadiliko image

Akina Nani na Nini za Uajiri wa Wafanyikazi wa Mabadiliko Bora

first images of Akina Nani na Nini za Uajiri wa Wafanyikazi wa Mabadiliko Bora
second images of Akina Nani na Nini za Uajiri wa Wafanyikazi wa Mabadiliko Bora

Ni nani anapaswa kuwa katika uajiri wa wafanyikazi wa mabadiliko bora na ni nini kinapaswa kuzungumziwa?

  • Timu ya IEP inapaswa kuamua ni uhusishaji wa shirika gani ambayo ni halisi zaidi kulingana na mahitaji na malengo ya mwanafunzi binafsi.
  • Familia, wafanyikazi wa shule, Wafanyikazi wa Kitengo Cha Kati, mwanafunzi, na wawakilishi wa shirika wanaweza kuisaidia timu kuzingatia nguvu zake.
  • Uchaguzi wa ni nani wa kualika katika uteuzi wa wafanyikazi wa mabadiliko bora ni muhimu kwa sababu habari nyingi inaweza kugunduliwa kuhusu uhusishaji wa shirikia au majukumu mengine ya mashirikia.
Video Explainatory Icon

Jifunze mengi kuhusu mabadiliko bora ya baada ya shule ya upili kwa wanafunzi wenye ulemavu

Video Explainatory Arrow

Ni Mada Zipi Huwa Zinajadiliwa kwa Kawaida kwa Uajiri wa Wafanyikazi wa Mabadiliko Bora?

Kushirikiana kwa kutoa habari kuhusu ni nini itajadiliwa kwa uajiri wa wafanyikazi unaokuja na washikadau utaboresha mawasiliano na ushirikiano. Mada ni pamoja na:

  • Huduma na msaada ambao mashirika tofauti hutoa
  • Hatua za kuomba nafasi kwa programu maalum kulingana na ulemavu wa mwanafunzi, mapato, umri, na sababu zingine
  • Ushiriki wa shirika kulingana na mpangilio wa mabadiliko bora unaoendelea na malengo ya mwanafunzi ya baada ya shule
  • Ushirikiano unaoendelea na wafanyikazi wa shirika kusaidia kwa mpango wa muda wa mabadiliko bora
Ni Mada Zipi Huwa Zinajadiliwa kwa Kawaida kwa Uajiri wa Wafanyikazi wa Mabadiliko Bora?  Image

Uajiri wa Wafanyikazi wa Mabadiliko Bora Unawafaidi aje Wanafunzi?

Uajiri wa wafanyikazi una faida nyingi:

Kujua Nani Anaweza Kusaidia  icon

Kujua Nani Anaweza Kusaidia

Wanafunzi na familia wanaweza kuzichunguza misaada tofauti ambayo yanapatikana

Kufikia Msaada icon

Kufikia Msaada

Wanafunzi wanaweza kupata ujumbe kuhusu jinsi ya kupata msaada ambao upo.

Mpangilio wa Umakini  icon

Mpangilio wa Umakini

Wanafunzi wanafaidi kwa wakati wa kuchunguza chaguzi zao na kuweka malengo wazi.

Kutengeneza Uhusiano icon

Kutengeneza Uhusiano

Wanafunzi hukutana na watu nje ya shule ambao wanaweza kuwasaidia kujenga ujuzi wao na pia kuwapa msaada.

Nyenzo Zilizoangaziwa

Jumuiya ya PA ya Mabadiliko Bora inatoa nyenzo zinazoangazia maudhui tofauti tofauti, zote zikiwa zinalenga kuboresha matokeo bora kwa wanafunzi wenye ulemavu.

Career Interested

NYENZO

Shirika la Mawasiliano Uhusiano na Ushirikiano wa Wanafunzi wa Kipekee (CIRCLES)

CHUNGUZA ZAIDI

Latest EVENT DATE

MATUKIO YA HIVI PUNDE

Itazame kalenda kwa nafasi zaidi ya kujifunza.

CHUNGUZA ZAIDI

Want to Learn PA Secondary

Unataka kujifunza zaidi?

Tazama zana hizi kwa timu za mashirika tofauti

Zana zifuatazo zimependekezwa kama mbinu ya kutoa msaada kwa mchakato wa kujenga, kuendesha, kudumisha, na kutathmini timu ya shirika la mabadiliko bora ya jimbo.

Tazama Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

TOP