Mpangilio ya Mabadiliko Bora

Kujitegemea/Kuishi kwa Jamii

Timu ya mabadiliko bora yapaswa kuwasiadia wanafunzi kujua mbinu za kujitegema nyumbani na kwa jamii baada ya kuhitimu shule. Yapaswa tukumbuke kuwa kujitegemea itawasaidia wanafunza kutimiza malengo yao.

Kujitegemea/Kuishi kwa Jamii image

Pata Maarifa, Kuweka Malengo

first images of Pata Maarifa, Kuweka Malengo
second images of Pata Maarifa, Kuweka Malengo

Timu ya mabadiliko bora iko na jukumu ya kumsaidia mwanafunzi kujua pahali na jinsi atakvyoishi baada ya kuhitimu shule. Hii inahusisha kumsaidia mwanfunzi kuzitambua maeneo anayoweza kuazimia kuishi na pia kumfunza mbinu muhimu za kujitegemea kwa maisha ili awe na afya bora, usalama, na furaha kwa maisha. Kwa kutumia mbinu za ki-umri za kutathmini uhali wa mwanafunzi, timu hii inaweza kumsaidia mwanafunzi kuanza kujiuliza maswali muhimu na kuweka malengo ya kujielekeza kwa maisha ya kujitegemea.

  • Ni ujuzi zipi mwanafunzi ako nazo za kujijali kiakili na kimwili ambazoanabobea na ni wapi anapaswa kuboresha?
  • Ni ujuzi upi wa usafiri ambao mwanafunzi anabobea na ni wapi anapaswa kuboresha?
  • Ni ujuzi zipi za kujisimamia, zikiwemo kujipanga vyema na kusimamia fedha, ambazo mwanafunzi anabobea na ni wapi anapaswa kuboresha?
  • Ni majukumu yepi ambayo mwanfunzi ako nayo na ni vipi anaweza kusaidiwa kujitegemea?
Video Explainatory Icon

Hebu tusikize kuhusu umuhimu wa kubainisha kati ya uwezo, maazimio, na kujitegemea/chaguzi za kuishi kwa jamii.

Video Explainatory Arrow

Timu ya Mabadiliko Bora Inawezaje Kuwasaidia Wanafunzi Kutambua Njia Bora ya Kujitegemea/Chaguo la Kuishi kwa Jamii?

Timu hii ya Mabadiliko Bora inaweza kuhimiza na kusaidia kujitegemea au kuishi kwa jamii kupitia mbinu zifuatazo:

  • Kusaidia mwanafunzi kujifunza kuhusu chaguzi tofauti zilizopo za kuishi (pekee yake, na familia, na marifiki, au na mshirika), aina za mipangilio anazoweza kuzingatia, na jinsi ya kuhakikisha kuwa maisha bora yanatimizwa.
  • Kusaidia mwanafunzi kuzitambua mbinu za usafiri ambazo zipo na kujua jinsi ya kusafiri pekee yake katika jamii ili kufaulu kikazi, kishule, na kujifurahisha.
  • Kumsaidia mwanafunza kujua jinsi ya kuwajibika kimaisha haswa kifedha, ratiba, afya, na usalama.
  • Kumsaidia mwanafunzi kujihusisha na masuala ya kijamii kama kupiga kura na kujihusisha na matukio na shughuli ya jamii
Timu ya Mabadiliko Bora Inawezaje Kuwasaidia Wanafunzi Kutambua Njia Bora ya Kujitegemea/Chaguo la Kuishi kwa Jamii? Image

Kujitegemea/Kuishi kwa Jamii: Njia ya Kufaulu

Timu za mabadiliko bora zinaweza kuwasaidia wanafunzi kujipanga kufaulu kwa azimio ya kujitegemea/kuishi kwa jamii kwa kufuata njia sahihi ya kufaulu.

Kutunza Nyumba icon

Kutunza Nyumba

Kuwatayarisha wanafunzi kuchunga mazingara ya kule wanakoishi.

Kusimamia Usafiri icon

Kusimamia Usafiri

Kuwatayarisha wanafunzi kutumia mbinu za usafiri katika jamii kwa ufanisi wakizingatia usalama pia.

Kutunza Afya  icon

Kutunza Afya

Kuwatayarisha wanafunzi kuzingatia mahitaji yao ya kimwili na kiakili ikiwemo lishe bora, mazoezi, tabia ya kulala, tiba, na ziara za ki-daktari.

Kusimamia Fedha icon

Kusimamia Fedha

Kuwatayarisha wanafunzi kusimamia pesa ikiwemo masuala ya benki, kupanga bejeti, kuweka pesa kwa akiba, kudhibiti alama ya mkopo thabiti, na kutathmini mikopo inayolingana na mahitaji.

Nyenzo Zilizoangaziwa

Jumuiya ya PA ya Mabadiliko Bora inatoa nyenzo zinazoangazia maudhui tofauti tofauti, zote zikiwa zinalenga kuboresha matokeo bora kwa wanafunzi wenye ulemavu.

Career Interested

NYENZO

Orodha hii ya ukaguzi kutoka kwa Muungano wa Mabadiliko Bora umeandaliwa kusaidia Timu ya Madaliko Bora kuamua iwapo mwanafunzi anahitaji malengo ya baada ya shule kwa eneo ya kujitegemea

CHUNGUZA ZAIDI

Latest EVENT DATE

MATUKIO YA HIVI KARIBUNI

Tazama kalenda kwa matuko yanayoweza kukufaa.

CHUNGUZA ZAIDI

Want to Learn PA Secondary

Unataka Kujifunza Zaidi?

Angalia hii karatasi ya ukweli ili kuamua jinsi ya kuwasaidia wanafunzi kutambua mbinu za kujitegemea bado wakiwa shule.

Lazima tuzingatie vipengele vingi vya kujitegemea vikiwemo pahali ambapo mwanafunzi anaazimia kuishi, kujihusisha, na kufikia rasilimali za jamii, na vile vile kiwango cha msaada unaohitajika ili kufaulu.

Tazama Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

TOP