Kuishi kwa Kujitegemea na Ushiriki wa Jamii

Misaada ya Afya ya Kiakili

Misaada ya Afya ya Kiakili ni pamoja na ushauri, huduma za matibabu, na nyenzo ambazo zinasaidia ustawi wa kihisia na kisaikolojia wa kijana na pia kutoa njia za msaada ambazo zinahakikisha kuwa atakuwa na afya bora akiwa shuleni na baada ya kumaliza shule.

Misaada ya Afya ya Kiakili  image

Misaada ya Afya ya Kiakili

first images of Misaada ya Afya ya Kiakili
second images of Misaada ya Afya ya Kiakili

Mazingira ya msaada wa Afya ya Kiakili inaweza kuwasaidia wanafunzi na vijana kunawiri katika mazingira yao ya sasa na ya siku za usoni katika jamii. Inaweza pia kupokea msaada kutoka kwa miunganisho za mashirika ya mtaa.

  • Kutoa mazingira ya msaada ulio salama na ya uaminifu
  • Kusaidia vijana kujifunza jinsi ya kuwasiliana na kusimamia hisia zao
  • Kutoa mikakati iliyo binafsishwa ili kumtayarisha kijana kushiriki na watu wapya na kupata uzoefu geni
  • Kutoa muunganisho wa jamii na kutambua huduma zilizo binafsishwa na pia matibabu na mitandano iliyojengwa kitaalamu
Video Explainatory Icon

Tazama video hii kuhusu msongamano wa mawazo na umuhimu wa kujitunza

Video Explainatory Arrow

Wanachama Wa Timu ya Mabadiliko Bora Wanawezaje Kuwasaidia Wanafunzi Kufikia Huduma Za Afya Ya Kiakili?

Ufahamu wa mahitaji ya kibinafsi ya mwanafunzi na kila mwanachama anayetoa msaada au chomo ni nguzo muhimu ya kuwezesha matokeo bora ya baada ya shule kwa watu wenye mehaitaji ya afya ya kiakili. Misaada ya afya ya kiakili iliyoratibiwa inaweza kusababisha mabadiliko bora kwa mwanafunzi akiwa shule na maisha ya jamii ya baada ya shule:

  • Mahitaji ya afya ya kiakili yaliyozingatiwa na kupewa msaada
  • Uongezekaji au udumishaji wa kujiamini
  • Kujihisi kuwa unafaa katika familia na jamii
  • Ufahama wa misaada ya afya ya kiakili ya watu wazima iliyoka katika jamii na jinsi ya kuifikia
  • Ustawi wa kihisia na kisaikolojia
  • Nafasi ya kutoa msaada wa kuimarisha ustawi wa kihisia wa watu wengine
Wanachama Wa Timu ya Mabadiliko Bora Wanawezaje Kuwasaidia Wanafunzi Kufikia Huduma Za Afya Ya Kiakili?  Image

Kufikia Misaada Ya Afya Ya Kiakili Inawezaje Kuwasaidia Wanafunzi?

Kuboresha hali ya maisha

Kusimamia msongo wa mawazo  icon

Kusimamia msongo wa mawazo

Kujifunza ujuzi wa kupunguza msongo wa mawazo kwa kushughulikia mambo ambayo yanaweza kudhibitiwa na kupata ujuzi wa kuchukua usukani wa udhibiti.

Ujuzi wa Kukabiliana icon

Ujuzi wa Kukabiliana

Kujifunza kutambua hisia, na kile kichaokiadhiri, na mikakati ya kuepuka hali zenye changamoto.

Kuunda Mahusiano Yenye Afya icon

Kuunda Mahusiano Yenye Afya

Kujifunza ujuzi wa kuunda na kudumisha mahusiano na watu kwa kuzingatia heshima, uaminifu, na huruma kwa pande zote.

Motisha  icon

Motisha

Kujifunza jinsi ya kumakinika kwa kazi ili kuafikia malengo .

Nyenzo Zilizoangaziwa

Jumuiya ya PA ya Mabadiliko Bora inatoa nyenzo zinazoangazia maudhui tofauti tofauti, zote zikiwa zinalenga kuboresha matokeo bora kwa wanafunzi wenye ulemavu.

Career Interested

NYENZO

Mwongozo wa Haraka wa NTACT: Afya Ya Kiakili na Mabadiliko Bora ya Sekondari

CHUNGUZA ZAIDI

Latest EVENT DATE

MATUKIO YA HIVI PUNDE

Tazama kalenda kwa matukio yanayokufaa.

CHUNGUZA ZAIDI

Want to Learn PA Secondary

Unataka kujifunza zaidi?

Tazama nyenzo hii

Seti ya zana uliodhibitishwa na Utawala wa Matumizi Mabaya ya Dawa na Huduma za Afya ya Kiakili (SAMHSA):

Tazama Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

TOP