Maendeleo ya Vijana

Kujitambua

Kujitambua ni uwezo wa kujiingiza katika hali ya kuelewa hisia, mawazo, na matendo yako. Pia inahusu kutambua jinsi matendo yako yanaathiri wengine. Kukuza ujuzi wa kujitambua unauwezo wa kuongeza matokeo bora kwa wanafunzi walemavu katika shule za upili.

Kujitambua  image

Hali yaKujitambua

first images of Hali yaKujitambua
second images of Hali yaKujitambua

Ki hakika, kujitambua inafanya vijana kufanikiwa kwa...

  • Kueleza mahitaji na maazimio yao kwa wengine
  • Kuelewa nguvu na uwezo wao bora
  • Kutatua matatizo, kuweka malengo, na kukubali matokeo
  • Kuongeza uaminifu kwa uwezo, ubora na uamuzi
  • Kuimarisha uwezo wao wa kuongea na kusema wanachohitaji
  • Kukubali kuwa watu ni tofatutina kuelewa mahitaji za wengine
Video Explainatory Icon

Je, Umuhimu wa Kujitambua ni Upi? Hebu tujue!

Video Explainatory Arrow

Je, Watu Wazima Wanawezaje Kuwasaidia Wanafunzi Kujitambua?

Watu wazima wanaweza kusaidia kuendeleza kujitambua kwa wanafunzi walio na ulemavu kwa kutumia mikakati iliyo na ushahidi kama:

  • Kuwafunza wanafunzi kuongoza mikutano ya Masomo yao ya Kibinafsi
  • Kufanya na kumaliza utathmini wa ki-umri wa mabadiliko bora
  • Kuwahusisha wanafunzi kwa uaminifu na heshimakwa mjadala kuhusu uamuzi wa kibinafsi
  • Ripoti za tathmini
Je, Watu Wazima Wanawezaje Kuwasaidia Wanafunzi Kujitambua? Image

Ni Njia Zipi za Kusaidia Kukuza Ujuzi wa Kujitambua?

Watu wazima wakitumia mashauri yaliyo na ushahidi kusaidia kukuza ujuzi wa kujitambua kwa wanafunzi wenye ulemavu, wanapaswa:

Kuwasaidia Wanafunzi icon

Kuwasaidia Wanafunzi

Kuwa na matarajio na pia kuwasaidia wanafunzi kufanya maamuzi ya kila siku wakiwa shuleni

Kufunza Mwanafunzi icon

Kufunza Mwanafunzi

Kufunza mbinu za kujitambua.

Kuhakikisha KunaMawasiliano icon

Kuhakikisha KunaMawasiliano

Kuhakikisha kuwa wanafunzi wako na mfumo wa mawasiliano unaofanya kazi vyema.

Kufanya Kazi Pamoja icon

Kufanya Kazi Pamoja

Kusaidiana na wanafunzi kuhakikisha kuwa wametimiza malengo yao.

Nyenzo Zilizoangaziwa

Jumuiya ya PA ya Mabadiliko Bora inatoa nyenzo zinazoangazia maudhui tofauti tofauti, zote zikiwa zinalenga kuboresha matokeo bora kwa wanafunzi wenye ulemavu.

Career Interested

Resources NYENZO

Je, unahitaji nyenzo au mwongozo zaidi kuhusu Kujitambua?

CHUNGUZA ZAIDI

Latest EVENT DATE

MATUKIO YA HIVI PUNDE

Tazama Mafunzo ya Me katika Kituo cha Zarrow!

CHUNGUZA ZAIDI

Want to Learn PA Secondary

Unataka kujifunza zaidi?

Tazama Mafunzo ya Me katika Kituo cha Zarrow!

Seti za masomo za kufunza ujuzi wa kujitambua.

Tazama Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

TOP