Maendeleo ya Vijana

Ukuzaji wa Ujuzi wa Kujisimamia

Ukuzajiwa ujuzi wa kujisimamia unahusisha kuelewa jinsi ya kuajibika na kujielewa mwenyewe ili kusimamia maisha ya kila siku na kutimiza malengo ya kibinafsi.

Ukuzaji wa Ujuzi wa Kujisimamia image

Kujisimamia ni nini?

first images of Kujisimamia ni nini?
second images of Kujisimamia ni nini?

Ukuzaji wa ujuzi wa kujisimamia ni pamoja na:

  • Kujifunza kuhusu uhajibikaji wa maisha ya watu wazima
  • Kuwezeshwa kuwa mtatuzi wa matatizo
  • Kujifunza ujuzi utakaowasiadia wanafunzi kujisimamia kimaisha kama vile kujipanga, kuweka malengo, kutunza wakati, na kupatana na watu wengine vyema
Video Explainatory Icon

Kujisimamia ni nini? Tazama video hii!

Video Explainatory Arrow

Tume ya Madaliko Bora Inawezaje Kusaidia Ukuzaji wa Ujuzi wa Kujisimamia?

Wanachama wa timu ya mabadiliko bora wanaweza kusaidia kupitia mbinu zifuatazo:

  • Kuwapa msaada wanafunzi ili wafanye maamuzi ya kila siku wakiwa shuleni
  • Kufunza mbinu za kujifuatilia ili wanafunzi wajue wajibu wao
  • Kuhakikisha kuwa wanafunzi wako na mfumo wa mawasiliano ulio bora
  • Kufanya kazi na wanafunzi ili kuwasaidia kutimiza malengo yao
Tume ya Madaliko Bora Inawezaje Kusaidia Ukuzaji wa Ujuzi wa Kujisimamia? Image

Ujuzi wa Kujisimamia Unawezaje Kuwasaidia Wanafunzi?

Wakati timu ya mabadiliko bora inawapa msaada wa kukuza ujuzi wa kujisimamia, wanafunzi wanaweza kukuza na kuboresha:

Ujuzi wa Kutatua Matatizo icon

Ujuzi wa Kutatua Matatizo

Kutambua changamoto zinazozuia malengo kutimika na kutafuta suluhu ya matatizo hayo ili kuyazuia kabla hayajatendeka.

Ujuzi wa Kutunza Wakati icon

Ujuzi wa Kutunza Wakati

Kuwajibika kwa kupanga ratiba ya kazi na shughuli za kila siku.

Udhibiti wa Hisia icon

Udhibiti wa Hisia

Kukubali, kuelewa, na kudhibiti hisia katika mazingira tofauti kama nyumbani, kazini, shuleni, na katika jamii.

Kujifuatilia icon

Kujifuatilia

Kujifunza kujua muda na juhudi zinazohitajika kumaliza kazi na kumakinika hadi kazi ikamilike.

Nyenzo Zilizoangaziwa

Jumuiya ya PA ya Mabadiliko Bora inatoa nyenzo zinazoangazia maudhui tofauti tofauti, zote zikiwa zinalenga kuboresha matokeo bora kwa wanafunzi wenye ulemavu.

Career Interested

NYENZO

Kukuza Ujuzi Wako wa Kujisimamia

CHUNGUZA ZAIDI

Latest EVENT DATE

MATUKIO YA HIVI KARIBUNI

Tazama kalenda kwa matuko yanayoweza kukufaa.

CHUNGUZA ZAIDI

Want to Learn PA Secondary

Unataka Kujifunza Zaidi?

Angalia hii mwongozo!

Maendeleo ya Vijana ya ACT

Tazama Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

TOP