Mpangilio ya Mabadiliko Bora

Jukumu Muhimu la Wanfanyikazi wa Shule

Mahusiano ya karibu na ya ki-msaada ni muhimu kuwasaidia wanafunzi kupanga maisha yao baada ya shule, haswa kwa kikazi, masomo na mafunzo ya baada ya shule ya upili na kuishi maisha ya kujitegemea. Wafanyikazi wa shule wana umuhimu mkubwa kwa kuwasaidia wanafunzi kujifunza kuhusu ulemavu wao na mbinu za kujikimu ambazo zitawasaidia kufaulu.

Jukumu Muhimu la Wanfanyikazi wa Shule image

Jenga Uhusiano, Fanya Miunganisho

first images of Jenga Uhusiano, Fanya Miunganisho
second images of Jenga Uhusiano, Fanya Miunganisho

Timu ya mabadiliko bora inapaswa kuwahusisha watu wazima waliotayari kushauri na kumsaidia mwanafunzi. Washauri kama walimu na wafanyikazi wengine shuleni wanapaswa kuwa na ufahamu thabiti wa mwanafunzi, ikiwemo kujua uwezo na ushupavu wake, azimio lake, na malengo yanayokuza ndoto zao kutimizwa. Wafanyikazi wa shule wanafaa kujitayarisha kumsaidia mwanafunzi...

  • Kuelewa ulemavu wake na mbinu za kujikimu na pia kule anapaswa kuenda kupata usaidizi unaohusiana na ulemavu.
  • Kujua kuhusu njia za kikazi ambazo zitamsaidia mwanafunzi kulinganisha uwezo na maazimio na kazi zilizopo.
  • Kujua jinsi ya kujiamini wakati wa kujihusisha na kazi na wengine au maswala ya kazi za jamii.
  • Kufunya utafiti wa nafasi za masomo na mafunzo ya usoni zilizopo na kuziunganisha nafasi hizi na uwezo, matamanio, na malengo ya kikazi ya mwanafunzi.
Video Explainatory Icon

Hebu tusikize umuhimu wa kuwa na timu ya mabadiliko bora iliyo na nguvu inayahusisha wafanyikazi wa shule wa ki-msaada.

Video Explainatory Arrow

Je, Mshauri Shupavu wa Wanafunzi Anafananaje?

Wanfanyikazi wa shule wanaweza kuunda ushauri thabiti na wanafunzi kwa kuwasadia kuelewa mchakato wa kujitambua...

  • Kuzitambua uwezo, matamanio, na malengo
  • Kutambua ulemavu wao na jinsi bora ya kujikimu
  • Kulinganisha malengo yao na njia za kikazi na pia kujiunganisha na wanafunzi wa shule ya upili wenye uzoefu wa kazi zinazohusiana
  • Kutambua masomo au mafunzo ya usoni ambayo inajiambataniasha na malengo ya kikazi
Je, Mshauri Shupavu wa Wanafunzi Anafananaje?  Image

Kusaidia na Kutoa Ushauri kwa Wanafunzi

Kuwa na uhusiano thabiti na wanfanyikazi wa shule ni muhimu kwa mwanafunzi kufaulu katika maeneo ya watu wazima.

Kujitambua icon

Kujitambua

Kutengeneza nafasi kwa wanafunzi kujifunza kuhusu uwezo wao, matamanio yao, na pia ulemavu wao. Kuwasaidia wanafunzi kujitetea kwa mahitaji yao ya kujikimu.

Ufahamu wa Taaluma ya Kazi icon

Ufahamu wa Taaluma ya Kazi

Kutengeneza nafasi ili wanafunzi wazitambue njia za kikazi na kutengeneza uhusiano baina ya uwezo na matamanio yao na nafasi za kazi za usoni.

Uhamasishaji wa Elimu ya Baaada Ya Shule ya Upili icon

Uhamasishaji wa Elimu ya Baaada Ya Shule ya Upili

Kutengeneza nafasi za wanafunzi kujifunza kuhusu masomo na mafunzo wanayohitaji kupata kazi wanazoazimia.

Ufahamu wa Kuishi kwa Kujitegemea icon

Ufahamu wa Kuishi kwa Kujitegemea

Kutengeneza nafasi kwa wanafunzi kujua jinsi ya kuishi, kusoma, na kufanya kazi na kupata raha ya maisha wakiwa wanajitegemea katika nyumba na jamii.

Nyenzo Zilizoangaziwa

Jumuiya ya PA ya Mabadiliko Bora inatoa nyenzo zinazoangazia maudhui tofauti tofauti, zote zikiwa zinalenga kuboresha matokeo bora kwa wanafunzi wenye ulemavu.

Career Interested

NYENZO

Unatamani kujifunza mbinu za kuwasaidia wanafunzi kutengeneza uhusiano na wafanyikazi wa shule?

CHUNGUZA ZAIDI

Latest EVENT DATE

MATUKIO YA HIVI PUNDE

Tazama kalenda kwa matukio yanayokufaa

CHUNGUZA ZAIDI

Want to Learn PA Secondary

Unataka kujifunza zaidi?

Tazama hili kijitabu kutoka kwa Muungano wa Mabadiliko Bora iliyo na majukumu tofauti katika mabadiliko bora.

Kijitabu hiki kinatoa maelezo ya majukumu tofauti tofauti na pia mapendekezo ya jinsi wanachama wa timu ya mabadiliko bora wanaweza kujihusisha na mchakato huu.

Tazama Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

TOP