Ukuzaji wa Ujuzi wa Kusafiri na Usafiri


Watu wazima wanaweza kuwasaidia wanafunzi na ujuzi wa kusafiri na usafiri kwa:
- Kutumia maelezo ya moja-kwa-moja
- Kujumuisha harakati za kimaskudi
- Kutumia mazingira ya mwanafunzi
- Kuangazia vikwazo ambazo wanafunzi wanaweza kukumbana nayo
Maisha ya Kujitegemea na Ushiriki wa Jamii
Unapozingatia ujuzi wa Kusafiri na Usafiri, timu ya mabadiliko bora inaweza kusaidia kukuza ujuzi hizi kwa kuhakikisha kuwa wanafunzi:
- Wanatambua mfumo wa msaada
- Wanafunzwa kusafiri katika mazingira yetu
- Kutambua vikwazo vya kusafiri na usafiri
- Wanaelewa umuhimu wa usalama ka kusafiri wa kujitegemea

Kufunza Ujuzi wa Kusafiri na Usafiri Unawezaje Kuwasaidia Wanafunzi?
Wanafunzi hupata maelezo na msaada wa ujuzi wa kusafiri na usafiri inayohusiana na:

Mfumo wa Msaada
Kuweza kutambua msaada kutoka kwa watu katika maisha yao kama wanafamilia, marafiki, wataalamu, majirani, wafanyika wa huduma ya moja kwa moja, polisi au wazima moto, na biashara za mtaa.

Kusafiri katika mazingira yao
Kujifunza kushughulikia mazingira yao, jamii ya mtaa, ununuzi, huduma ya afya, na nafasi za burudani.

kutambua vikwazo vya kusafiri na usafiri na kutafuta suluhu.
Kujua njia ya kusafiri ni kipengele muhimu katika matayarisho ya kusafiri na mbinu za usafiri.

Usalama na Kusafiri na Usafiri wa Kujitegemea
Mwanafunzi lazima ajue jinsi ya kuzuia na kuepuka hali hatari au zisizopendeza.
Nyenzo Zilizoangaziwa
Jumuiya ya PA ya Mabadiliko Bora inatoa nyenzo zinazoangazia maudhui tofauti tofauti, zote zikiwa zinalenga kuboresha matokeo bora kwa wanafunzi wenye ulemavu.

NYENZO
Kituo cha Kitaifa Cha Wazazi cha Mabadiliko Bora na Ajira
CHUNGUZA ZAIDI

MATUKIO YA HIVI PUNDE
Tazama kalenda kwa habari zaidi
CHUNGUZA ZAIDI

Unataka kujifunza zaidi?
Kuunganisha Maudhui ya Usafiri katik Progamu za Elimu ya Kibinafsi na Upangaji wa Mabadiliko Bora
Ebu tazama hii!
Tazama Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara