Kujiamini Kibinafsi ni nini?


Kujiamini ni kuwa na imani na ushupavu ya kuchukua ushukani wa maisha. Wanafunzi wanaojiamini wanaweza:
- Kuongelea mahitaji na maazimio yao
- Kufanya uamuzi
- Kuwasiliana vyema na watu wengine
- Kuzitambua maazimio na malengo zao za siku za usoni
Ni Vipi Wanachama Wa Timu Ya Mabadiliko Bora Wanaweza Kusaidia Kukuza Kujiamini?
Timu ya mabadiliko bora ina umuhimu sana kwa kuwasaidia wanafunzi kukuza ujuzi wa kujiamini. Hii yaweza kufanyika kwa kusaidia wanafunzi:
- Kuelewa kuhusu ulemavu wao, uwezo, na mahitaji zao za kipekee
- Kujivunia maisha yao
- Kujua jinsi ya kuomba msaada wanaohitaji ili kufaulu kwa maisha ya baada ya shule ya upili

Ujuzi wa Kujiamini Unawasaidiake Wanafunzi?
Kwa kujifunza ujuzi wa kujiamini, wanafunzi wanaweza boresha:

Ujuzi wa Kutatua Matatizo
Hii ni ujuzi wa kutafuta suluhu tofauti na kuchukua moja ambayo inasaidia kuafikia malengo bila changamoto nyingi.

Ujuzi wa Kujitetea
Hii ni uwezo ya kujitetea binafsi na kujihusisha kwa masuala ya kutatua matatizo na kufanya uamuzi.

Uchaguzi na Sauti
Hii ni uwezo wa kufanya uamuzi unaowapa nafasi ya kufanya wanayotaka na kujua msaada wanaohitaji kufaulu pekee yao.

Kuweka Malengo
Uwezo wa kuweka malengo yanayoweza kuafikiwa na kupata msaada wa kipekee wanohitaji kufika hapo.
Nyenzo Zilizoangaziwa
Jumuiya ya PA ya Mabadiliko Bora inatoa nyenzo zinazoangazia maudhui tofauti tofauti, zote zikiwa zinalenga kuboresha matokeo bora kwa wanafunzi wenye ulemavu.

NYENZO
Kusaidia Kufanya Uamuzi: Mwongozo wa kusaidia watu wenye ulemavu kufanya maamuzi yao wenyewe
CHUNGUZA ZAIDI

MATUKIO YA HIVI PUNDE
Tazama kalenda kwa matukio yanayokufaa.
CHUNGUZA ZAIDI

Unataka kujifunza zaidi?
Nimeamua!
Pata msaada kwa kuwasadia wanafunzi kuweka malengo, kusikika, na kufikia malengo ya juu zaidi.
Tazama Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara