Nguvu ya Ufahamu wa Ulemavu


Timu ya mabadiliko bora inapaswa kuwasaidia wanafunzi katika uchunguzi wa jinsi ufahamu wa ulemavu unavyofanana. Wanafunzi wanapojiandaa kutimiza maazimio ya mabadiliko bora ya baada ya shule ya upili, wanafaa:
- Kuelewa ulemavu wao
- Kujua haki zao
- Kutambua usaidizi unaohitajika
- Kuongeza Kujiamini
Je, Ni Kwanini ni Muhimu Kufunza Ujuzi wa Ufahamu wa Ulemavu?
Wanafunzi wengine huona ni vyema kufichua ulemavu wao kwa mwajiri au profesa wa chuo. Huenda wakafanya hivyo ili kupata msaada wa kipekee kazini au shuleni ili kuzuia changamoto za siku za usoni.
- Ufichuzi wa ulemavu ni njia mojawepo ya mlemavu kutetea haja zake
- Mwanafunzi ambaye ana ujuzi bora ya kujitetea anaweza kupata urahisi kujadili athari za ulemavu wake na mwajiri wake
- Wanafunzi watajitetea kwa kile wanachohitaji ili kufaulu kwa maisha

Je, Kutoa Ufahamu wa Ulemavu kwa Wanafunzi Unasaidiaje?
Ufahamu wa ulemavu unaelekeza kwa:

Mafanikio Zaidi
Ufahamu wa Ulemavu unawapa wanafunzi ujuzi wa kujitetea ili kupata usaidizi maalum itakayoleta ufanisi au kufaulu.

Kuelewa Haki za Walemavu
Wanafunzi walemavu wanapaswa kujua haki zao na ulinzi wa kisheria walio nao ikiwa watabaguliwa kwa sababu ya ulemavu wao.

Uhuru Mkubwa
Uhuru mkubwa unamaanisha nafasi zifunguliwe kwa marafiki na kuwasiliana bila matatizo.

Kuelewa Mahitaji ya Afya
Wanafunzi wanaweza kuwasiliana bora kuhusu mahitaji yao ya kiafya kama wanajua ulemavu wao.
Nyenzo Zilizoangaziwa
Jumuiya ya PA ya Mabadiliko Bora inatoa nyenzo zinazoangazia maudhui tofauti tofauti, zote zikiwa zinalenga kuboresha matokeo bora kwa wanafunzi wenye ulemavu.

NYENZO
Shirika la Kitaifa la Wazazi kwa Mabadiliko na Ajira lina Mwongozo wa Ufichuzi wa Ulemavu
CHUNGUZA ZAIDI

Ratiba ya Mabadiliko Bora ya Huduma ya Afya
Fafanua kile wanafunzi wanahitaji kujua na umri ambao wanapaswa kuwa wamejua
CHUNGUZA ZAIDI

Unataka kujifunza zaidi?
Kipengele muhimu ya kuelewa ulemavu ni kutambua mwongozo utakaosaidia kuleta uhuru.
Kuelewa jinsi usaidizi wa kiteknolojia unasaidia!
Tazama Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara